malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Balaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu yeyote anayetumia maneno "nitty gritty" katika hukumu anatia wasiwasi. Na kwani huyo mama alikuwa anajiita Davis Mosha mpaka Hakimu aone kuna umuhimu wa kumzuia kulitumia?Mfanyabiashara Davis Mosha ameacha na mke wake wa ndoa aliyeishi naye kwa miaka 28 amekwenda kufoji nyaraka za kampuni hukumu imetolewa mke hajapewa urithi hata pini.
Masikini ya Mungu Huyu Mkewe ndiye alikuwa muhasibu wa kampuni zote za huyu mfanyabiashara kwa miaka 20.
Majaji wetu hukumu kama hizi ni za ukandamizaji, mawakili tunaomba msaidie kama hii hukumu ni halali na mahakama zetu zinatoa haki nimeona uonevu mtupu humu Pesa imenunua haki.
Je hii ni sawa?
==========
MAAMUZI YA MAHAKAMA
- Ndoa kati mlalamikaji na mlalamikiwa imevunjwa na talaka imetoka.
- Hakuna mali zilizopatikana kwa pamoja kwenye ndoa.
- Uangalizi wa mtoto Daniela Davis Mosha unakuwa chini ya mlalamikaji(Baba)
- Mdaiwa anapewa ruhusa ya kuwa na mtoto kipindi cha likizo na siku yenye nafasi kwa mtoto
- Mdaiwa amekatazwa kutumia jina la mlalamikaji Davis Mosha na amerejeshewa majina yake ya awali
- Kila mmoja atabeba gharama za kesi
View attachment 2912748View attachment 2912749View attachment 2912750View attachment 2912751View attachment 2912752View attachment 2912753View attachment 2912754View attachment 2912755View attachment 2912756View attachment 2912757View attachment 2912758View attachment 2912759View attachment 2912760View attachment 2912761View attachment 2912762View attachment 2912763View attachment 2912764View attachment 2912765View attachment 2912766View attachment 2912767View attachment 2912768
Mambo ya Achraf Hakimi haya yule mchezaji wa PSG 😂😂Yule Mchezaji wa Mpira anaitwa nani vile?
Christian Ronaldo hajafunga ndoa na mama watoto wake.Kama fala. So umezaa na nani? Na hakuna mwanamke mwenye akili anaekubali kuzaa na janaume ambalo halijamuoa. So wewe, uliezaa nae na hao wanao wote mapunguani. Kuzalisha kizazi cha bastards
Mkuu mimi naona dunia iachane tu na mfumo dume 50 50 itake over rasmi, kusiwe na mgawanyo tena wa majukumu hata kazi za nyumbani nazo zifanywe na wote, na mwanaume asimtawale tena mwanamke kila mtu ajitawale mwenyewe simple tuNasubiria Comment ya Jadda ili uzi ufungwe rasmi.
Hapo Hakimyu ameshapewa moja ya matrimonial property.... 😀Mfanyabiashara Davis Mosha ameacha na mke wake wa ndoa aliyeishi naye kwa miaka 28 amekwenda kufoji nyaraka za kampuni hukumu imetolewa mke hajapewa urithi hata pini.
Masikini ya Mungu Huyu Mkewe ndiye alikuwa muhasibu wa kampuni zote za huyu mfanyabiashara kwa miaka 20.
Majaji wetu hukumu kama hizi ni za ukandamizaji, mawakili tunaomba msaidie kama hii hukumu ni halali na mahakama zetu zinatoa haki nimeona uonevu mtupu humu Pesa imenunua haki.
Je hii ni sawa?
==========
MAAMUZI YA MAHAKAMA
- Ndoa kati mlalamikaji na mlalamikiwa imevunjwa na talaka imetoka.
- Hakuna mali zilizopatikana kwa pamoja kwenye ndoa.
- Uangalizi wa mtoto Daniela Davis Mosha unakuwa chini ya mlalamikaji(Baba)
- Mdaiwa anapewa ruhusa ya kuwa na mtoto kipindi cha likizo na siku yenye nafasi kwa mtoto
- Mdaiwa amekatazwa kutumia jina la mlalamikaji Davis Mosha na amerejeshewa majina yake ya awali
- Kila mmoja atabeba gharama za kesi
View attachment 2912748View attachment 2912749View attachment 2912750View attachment 2912751View attachment 2912752View attachment 2912753View attachment 2912754View attachment 2912755View attachment 2912756View attachment 2912757View attachment 2912758View attachment 2912759View attachment 2912760View attachment 2912761View attachment 2912762View attachment 2912763View attachment 2912764View attachment 2912765View attachment 2912766View attachment 2912767View attachment 2912768
Akili zako hazikutoshi, mbunge wa Segerea alikuwa anaitwa Bona Karua, sasa hivi anaitwa Bona Kamoli, unajuwa Kwa nini?Mtu yeyote anayetumia maneno "nitty gritty" katika hukumu anatia wasiwasi. Na kwani huyo mama alikuwa anajiita Davis Mosha mpaka Hakimu aone kuna umuhimu wa kumzuia kulitumia?
Amandla...
Kwa kawaida sijibu mtu anayeanza kwa matusi. Swali langu lilikuwa ni je huyu dada alikuwa anaitwa Davis Mosha au Mrs someone Mosha? Na uamuzi wa kuacha kutumia jina la ndoa ni wa mwenye ndoa na sio mahakama kuamua. Ni kama vile mwanamke halazimiki kuchukua ubini wa mume wake anapoolewa. Wengi tu wako kwenye ndoa lakini hawabadilishi jina lao la kuzaliwa. Na hata ingekuwa hivyo ( ambapo sio) Hakimu angemzuia kutumia ubini wa Mosha na sio jina la Davis Mosha. Hizo Ph.D zenu fake zitawapa shida sana.Akili zako hazikutoshi, mbunge wa Segerea alikuwa anaitwa Bona Karua, sasa hivi anaitwa Bona Kamoli, unajuwa Kwa nini?
Kule BBC kuna Regina Mwalekwa lakini siku hizi anaitwa mzuwanda
utafanya wadogo zangu wasiolewe. watoe wameru hapo.
Huyu Jaji Msafiri ni mla rushwa mkubwa, Ukiwa na kesi anakwambia kesi yako namaliza miezi mitatu nipe milioni 6. Yaaani nimesoma tu nikasema hapa kuna shida sana. Msafiri hafaiMfanyabiashara Davis Mosha ameacha na mke wake wa ndoa aliyeishi naye kwa miaka 28 amekwenda kufoji nyaraka za kampuni hukumu imetolewa mke hajapewa urithi hata pini.
Masikini ya Mungu Huyu Mkewe ndiye alikuwa muhasibu wa kampuni zote za huyu mfanyabiashara kwa miaka 20.
Majaji wetu hukumu kama hizi ni za ukandamizaji, mawakili tunaomba msaidie kama hii hukumu ni halali na mahakama zetu zinatoa haki nimeona uonevu mtupu humu Pesa imenunua haki.
Je hii ni sawa?
==========
MAAMUZI YA MAHAKAMA
- Ndoa kati mlalamikaji na mlalamikiwa imevunjwa na talaka imetoka.
- Hakuna mali zilizopatikana kwa pamoja kwenye ndoa.
- Uangalizi wa mtoto Daniela Davis Mosha unakuwa chini ya mlalamikaji(Baba)
- Mdaiwa anapewa ruhusa ya kuwa na mtoto kipindi cha likizo na siku yenye nafasi kwa mtoto
- Mdaiwa amekatazwa kutumia jina la mlalamikaji Davis Mosha na amerejeshewa majina yake ya awali
- Kila mmoja atabeba gharama za kesi
View attachment 2912748View attachment 2912749View attachment 2912750View attachment 2912751View attachment 2912752View attachment 2912753View attachment 2912754View attachment 2912755View attachment 2912756View attachment 2912757View attachment 2912758View attachment 2912759View attachment 2912760View attachment 2912761View attachment 2912762View attachment 2912763View attachment 2912764View attachment 2912765View attachment 2912766View attachment 2912767View attachment 2912768
Hapa JF mchagga hakosei Mkuu tegemea post zooote kumtetea Mosha! Over
[/QNakubaliana na wewe kabisa. Hawa ndugu zangu kana kwamba huwa wana kiapo cha kusimama pamoja inapotokea Mchaga Mwenzao kuharibu , kuwajibishwa au kushindanishwa.Hapa JF mchagga hakosei Mkuu tegemea post zooote kumtetea Mosha! Over
Nakumbuka Kesi ya Mramba walivyosimama naye , nakumbuka Kesi ya mirathi ya Mengi walivyokuwa wanamzonga Jacklin, nakumbuka walivyosimama na Mbowe kwenye kesi kuliko hata aliposhambuliwa Lisu. Imagine jinsi wanavyosimama na Davis Mosha pasipo hata kukumbushia tuhuma zake zilizomkimbiza nchini.
Hata huku makazini kwetu mchaga akiharibu hutasikia wachaga wenzake wakimzonga na wapo radhi watengeneze mazingira ya kumuepusha. Ila inapotokea tuhuma kwa mtu ambaye sio Mchaga unaambiwa ofisini hakutakalika kwa MAJUNGU na kushinikiza mtu awajibishwe.
Naambiwa mchaga akiiba na akafanikiwa kuingia kijijini kwao mjue imetoka hiyo.WATAMFICHA.
JAPO KWA UPANDE MWINGINE WA SHILINGI HUO NDIO UZALENDO WENYEWE.
MAKABILA MENGINE TUIGE HII SPIRIT YA WENZETU . TUSIWE WATU WA KUFITINIANA WENYEWE , KUMKOMALIA MWENZAKO TUUU NA KUMLENGESHA.
MANGI WOTE BIG UP SANA. SIMAMA NA NDUGUYO DAIMA
Kuna jamaa anaitwa Athumani ndiyo anamfundisha mwanamke jinsi ya kimbunga DevisKama huyo Demu wa kaskazini watasumbua sana ,mwanamke alikuwa kweny biashara zake kwa miaka kama 20 .
Ngoma bado mbichi ,mapema inaonekana mwanamke kaleta tamaa ...Ila jamaa akae la sivyo ajiandae .
Yupo na Othuman ndiyo anamfundisha mwanamke usumbufu woteHivi hizi grounds mnatokaga nazo wapi sijui jina la mama sijui la baba sijui watu wengine.
Mali za mtu mahakamani ndioz hutajwa. Hmna chizi anafungua kesi kudai mali zisizomuhusu, wala mahakamani hakuna kesi inayohusu mali zisizokua zimeorodheshwa kwa majina ya pande zote mbili.
Ukifika mahakamani mali zinatajwa zile zinazohusu tu. Hivo ukiona mtu kashinda au hajagawa mali ww unazozifahamu basi ujue hizo mali hazihusishi zote unazojua. Pili, huyo mwana mama. Inawezekana kuna makosa yamemkosesha mali, inawezekana, hakuwepo wakati wa kuchuma mali on subject, inawezekana davis ana grounds zakutoweza kugawa mali zake. Na grounds hizo zipo hapo.hana mali yoyote kwa jina lake. Maali nyingi ni za kampuni, ni ngamia tu wapo chini yake tena kama private property, mali nyingi alizichuma kabla ya ndoa, na mwanamama huyo kabeba kitita cha kutosha zaidi ya usd milioni 750, Pia aliwekeza mali kivyake mwanamama huyo na davis hakuwa na haja ya kuzifatilia.
Dada kayakanyaga kukubali Kuhusu mitomingi, yaani grounds zote davis hatakiwi kumpa mali huyo dada. Sasa muache oooh kaandika majina mama. Hamna mali ya mama yako itakuja mahakamni kama kielezo ni mali yako.
Babe makasiriko ya nini sasa?Nenda zako huko bana