Acha uoga mi nakula mzigo nitakavyo kwa tsh. 180 daily wewe nenda huko lodge umlishe umuhonge etc usiogope kuoa Kila mtu ana mtihani wakeKATAA NDOA...
kivipi hapa, fafanuaKwa tsh. 180 daily
Mahali 2 milion nikikaa nae miaka 30 inakuwa; 2000000/30=66,666.666 then decide by 366 days is equal to tsh. 182 daily.kivipi hapa, fafanua
hahahaha haya banaMahali 2 milion nikikaa nae miaka 30 inakuwa; 2000000/30=66,666.666 then decide by 366 days is equal to tsh. 182 daily.
Mwendo wa MKONOBAOhahahaha haya bana
mimi hapa ni Tsh. 23 daily
kopo langu la 500g la BabyCare ni 5000/- tu
na linaishia miezi 6-8
Bangi hizi.Mahali 2 milion nikikaa nae miaka 30 inakuwa; 2000000/30=66,666.666 then decide by 366 days is equal to tsh. 182 daily.
Mambo yakifikia hapo ni kuachana kwa amani tu hakuna namna.
Hizo Ndoa za kutafutana kwenye Harakati za Kisiasa ndio tatizo lake. Dr.Slaa anaweza simulia zaidi.
Huyo uliyezalisha achukuliwe na nani akiwa na hicho hicho kisokwe ulichomzalisha?Vijana tafuteni maisha msikinbilie kuoa. Ukitaka kuishi maisha marefu mazuri achana na ndoa. Tafuta wako mzalishe pita hivi, kazi yako kulea tu.
[emoji1]Unaoa Radio, kila siku kelele haziishi ndani ya Nyumba.
Kaulize mahakama au wadaawa.....Ndoa ikishafikia hatua kama hiyo bora kuachana ila swali langu watoto watakuwa chini ya mwanamke kwa kipindi gani?
Hongera zenu!Ndoa ni fumbo lenye codes ngumu sana. Wale ambao tumeoa kuanzia past five years kuendelea na ndoa zetu hazina mushkeli wala figisu figisu kubwa kubwa tugonge like hapa za kiumeni.[emoji16]
Kuwa msaliti ni sawa na kula nyama ya mtu tu maana huwezi kuacha hiyo tabiaMaana ya usaliti
Inasemekana diblo dibala anachekata huyo mtaliki.