Papaaa mukuubwaaa
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 1,534
- 1,511
Toa kodiHuyu baba ni wale born and raised in sabato na from a very strong family u could imagine....
Ni shoga maarufu na ana mke kabisa... nikitaja tu hyo kata basi kila mtu anamjua. Ameliwa mpaka na wahindi na waarabu sasa ana HIV ameamua kurubuni vijana wadogo kwa fedha na kuwawezesha vimiradi vidogo ili wampakue. Jaman jaman saa ivi mtu akienda labor anatamani baby girl wakati before ilikuwa watu wanatamani wanaume ili kujenga ukoo
Wanataka mwanamke anyanyasike tu bila kujitambua acha 2mbili akaoe 2mbili wenzie hukoNi wanaume wa aina yako waliokuwepo enzi zile na wakawa na mamlaka ndio waliotufikisha hapa tulipo!
Ilikua ni rahisi kuwapa mwanya wa hivyo vyote unavyopinga wasiwenavyo, wangezaliwa na kuwa navyo wangevizoea na wangeishi navyo kwa mujibu stahiki wa wakati huo na huu pengine!
Sasa hizi sarakasi zote za haki Sawa na takataka zote kwenye taasisi takatifu ya ndoa zimekuja baada ya wao kugundua kwamba waliyoambiwa na kuaminishwa plus kulazimishwa vizazi na vizazi hayana Ukweli wa asilimia 100 ila kiasi kikubwa ni kwa matakwa ya wenzao na “Ego” zao!
Hakuna pa kuchomokea, kilichotafutwa na wazee wenu mnakipata wajukuu!
Mungu ni mwema wakati wote.
Grid au kisukari?Aiseee huyo mtu si yupo kwenye "grid ya taifa"? Kafulila amesalimika kweli na "juliana"? Ni kazeze Ni kazeze.
Kweli kabisa mkuu.Hii kombinesheni ilikuwa ngumu...mmoja mbishi mmoja mkorofi asiyeambilika
Wanakuwa wamejitambua hivyo akinyanyaswa lazima kielewekeWanawake pasta zaidi ni
Wenye vyeo,waliyoingia kwenye siasa,wanawake TRA,Bandari
Nyingine ongezeeni
Ova
wapo watakalolitwaa wakiwemo bodaboda na shamba boyKwa sasa Jimbo liko wazi.
Hapana baba yangu alilitafuta lichizi limaza lako akalitoa marinda ukazaliwa wewe 😂, malaya unayezeeka bila ndoa kwasabab huna mvuto punguza kiherehere.. karibu tena nakungojaInaonekana baba yako nae alilitafuta lichizi lake akakupata wewe. Usisahau kumuomba baba yako usaidizi kwenye kulichagua lichizi lako.
Kassimu yupo.Siku huyo mwanamke akikosa ubunge ndio atajua hajui. Atakua na pesa sawa lkn mwanaume gani anapenda mwanamke mwenye pesa.
Raha ya penzi mwanaume ahonge.
Labda achukue bodaboda.
Kakudanganya nani? Upo gizani.Kwa sasa Jimbo liko wazi.
Kituo kinachofuata ni Ally Bananga, kaeni kitako kwa kutulia.Inasikitisha sana, lakini hakuna namna wacha inyeshe tujue panapovuja
Hivi unazani siku zote hizi yeye Jessica hajapata?Tena hawa ni mastaa wakubwa katika siasa lakini wameshindwa kuishi maisha ya ndoa. Anyway kafulila ni mwanaume nafasi ya huyo mke wake itazibwa fasta hata na mwanamke mwenye elimu ya chini na maisha yake ya ndoa yakaimarika. Ishu ni kwa ex wake kupata mume mpya, labda mpenzi tu wa kukidhi haja. Maana wanaume wengi huogopa kuoa fasta wanawake wanaoachika.
Hiyo hukumu haimkatazi baba kutokuwa na watoto wake atakuwa nao vipindi vya weekend na likizo za masomo.But why? Miaka 18 watoto is watamsahau Baba na Mama atapata advantage zaidi; na wengine huwajengea chuki watoto kiasi wanakua hawana mpango na baba. Mimi kuna wakati nadhani Mahakama ili review hizi sheria maana kama inapendelea upande mmoja, na akina Mama Wengi hu take advantage ya hizi sheria.
Nani kachukua sasa?Kakudanganya nani? Upo gizani.
Sio kuwabana ni utamaduni na imani hasa Uislam. MKE ni pambo la ndani sio kuhangaika juani.Ulitaka ateseke tu, ndiyo maana wengi mnawabana wake zenu wasiwe na chochote ili muwanyanyase!
Sasa wewe kaingie kichwa kichwa.Kwa sasa Jimbo liko wazi.
🤣🤣tena sana tu, yule mama bado wamo mwili unachemka 50'c, sasa ataishije mbali na mume wake? Ni binadamu wa kawaida kama wengine lazima ajiongeze kupunguza joto