LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
Kabisa, tuendelee kuwagonga tu maana hakuna namna. Ukitaka muishi pamoja yanatokea haya.Tuendelee kuwagonga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa, tuendelee kuwagonga tu maana hakuna namna. Ukitaka muishi pamoja yanatokea haya.Tuendelee kuwagonga
Kwa afya Ile Nduguyai anaweza kumpelekea Moto mke wa 2mbili? Labda aile na meno.Alikuwa anatembea na Ndugai
Watu mna lugha za code, yaani sijachukua hata moja hapo.Diblo Dibala ni "SABUFA" aliyepita au Katelephone?
Diblo anachakata mbususu ya Tumbiri!Diblo Dibala ni "SABUFA" aliyepita au Katelephone?
Diblo anachakata mbususu ya Tumbiri!
Wewe muhaya una mambo wewe!!! Yaani Diblo anachakata MBUSUSU ya mzee wa kasulu?Diblo anachakata mbususu ya Tumbiri!
Kama ni Diblo basi naona Tumbili kashanasa kwenye nyaya za kidatuNani SABUFA au Katelephone?
Kama ni Diblo basi naona Tumbili kashanasa kwenye nyaya za kidatu
Kweli kabisa hii ndo tungeipata badala ya kuhangaishwa na mkasa wa tumbili🤣Anayeijua hiyo 1987 Joseph Warioba Butiku VS Perucy Muganda Butiku tafadhali anigusie kidogo
kwanni tumbili
Mitoto ya juzi juzi hii Mkuu Farolito ndo wakati mwingine huwa wanayumbisha jukwaa hapa😀We ni mgeni kwenye siasa za Tanzania?
5years bado sana. Bado ndoa changa sanaNdoa ni fumbo lenye codes ngumu sana. Wale ambao tumeoa kuanzia past five years kuendelea na ndoa zetu hazina mushkeli wala figisu figisu kubwa kubwa tugonge like hapa za kiumeni.😁
Khee, huyu vipi?😀Ukichunguza vizuri utaikuta CHADEMA imo. Mbowe kumbuka majuzi alivyomtukana hazarani Waziri Silinde eti msaliti eti kwa vile alimnunulia chupi na suti akiwa Chuo Kikuu. Wote hawa: kina Kishoa, Zitto, Kafulila, Joyce Bulaya, Halima Mdee walikuwa UDSM mbowe akaja na rundown la hela kuwarubuni waitukane TANU, ndo maana wengi wakaamua better with hindsight kumbe ni tapeli wewe ngoja tusubiri. Ni lazima Tume ya Maadili ichunguze utapeli huu la sivyo tutakuwa Nji ya Watumwa kwa jeuri ya pesa ya CHADEMA.
Ndiyo maana DIBLO kavimbiana sana usoni kumbe ni madhara ya KIDATUAiseeee SABUFA ana drum kitambo sana na ilishwahi kumyooosha kweli kweli ,tulikuwa tunaenda kumuona kwake SALASALA.....Aliachana na Mkewe na yeye alikuwa na Drum nadhani alishafariki.
Wachana na wafuasi wa sheitwan JiweKhee, huyu vipi?[emoji3]
Hatari sana na ameunganisha watu sana na huduma ya KIDATU.Ndiyo maana DIBLO kavimbiana sana usoni kumbe ni madhara ya KIDATU
Coment yako iko poa sana. Kuna yale mashetani yanaitwa kataa ndoa. Yakiona hizo like kwenye hii comment lazima yakimbieNdoa haifai ni mateso na tabu,wanawake wamekuwa hawbiliki ni stress tupu..zalisha tunza watoto wako...shetani ameamua kujidhihirisha yakwamba anajinsia ya kike.
Saluti kwako mkuu,.Mahali 2 milion nikikaa nae miaka 30 inakuwa; 2000000/30=66,666.666 then decide by 366 days is equal to tsh. 182 daily.
kwani kupeleka moto ni kazi? Ni rahisi sanaKwa afya Ile Nduguyai anaweza kumpelekea Moto mke wa 2mbili? Labda aile na meno.
ni mwendo wa code tuWatu mna lugha za code, yaani sijachukua hata moja hapo.
Yule ni mchaga wewe. Kule Iramba wazazi wake wameishi tu.Mnyiramba na ndoa wp na wp?