Mahakama yazuia ombi la kampuni ya NSK kuifilisi Dangote Cement

Dangote aliletwa na Kikwete, sasa kiti sasa hivi kakalia kibwengo shetani 🐍.

Hali tete kila kona
 
Na wewe usiwe na akili finyu sasa kuliko kuvuruga uchumi mazima ni vyema kuja na strategy nzuri za kukabiliana na hizo mbinu za kibashara bila kukimbiza wawekezaji wala kuharibu mitaji yao,kwa mfano grace period isizidi miaka 3 na the same company haitakiwi kubadilishwa umiliki au kuiregister upya kwa kipindi cha let say miaka 6,,sheria ikisema hivyo angalau itabinya bila kuumizana saaana badala ya kufuta kabisa grace period,hapa unaumiza waliomo na wasiokuwemo maana inafanyika hivi duniani kote na mtizamo wa kiuchumi usiishie tu kwenye kodi ya serikali bali kwenye multiplier effects zingine kwa mfano ajira,kuleta technology na uzoefu wa biashara kwa wazawa,kukuza GDP nk nk
 

Sasa umeongea nn rudisha ubongo ndo ukoment umeshaupoteza sasa
 
Let him Go Tanzania is an economic bampkin
Tuwakumbushe watawala wa Afrika kuwa kushika hatamu haukufanyi ugeuke kuwa injinia, daktari, mhasibu, mwanasayansi au mtaalam zaidi! Power doesn’t suddenly increase your knowledge or qualify you to be anything more than you were! Waache u-much-know wawe humble!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…