Inawezekana ndiye kawapa ruhusa mahakama, kama njia ya kuchomokea katika hayo maamuzi halafu anachukua point 3 hadi kwa CDM kwa kuheshimu maamuzi
Kwani kesi ya Covid 19 inaendeleaje ?! 😀
 
Nguvu ya mahakama ilikufa rasmi awamu ya 5,,tena baada ya wabunge Covid 19 kubaki bungeni wakati sheria ilikuwa imevunjwa..

Nilisoma mahali Andrew Jackson,raisi wa zamani wa Marekani aliwahi kuiambia Supreme Court ya nchi hiyo kuwa waje na bunduki wamzuie kuwaondoa native Indians kwenye ardhi yao. Hiyo ni baada ya mahakama kumwambia aache mara moja kuwasumbua hao wahindi.

His direct words were - "John Marshall has made his decision; now let him enforce it"

Chief Hangaya akisema mahakimu waliofanya hayo maamuzi waje wamzuie , je kuna atakayethubutu?.Tumeshuhudia spika akijiuzulu na kupotea kimya kimya baada ya kukingiana kifua na executive

Power resides where people believe it resides.do we as Tanzanians believe the court can overrule executive authority??
 
Je serikali ya chama dola kongwe tawala itaheshimu utawala wa sheria kama inavyosisitiza raia watii sheria bila shuruti ?

Historia inaonesha serikali ya CCM ina desturi ya kupuuza hukumu na amri za mahakama
 
Kama Hakimu Mwanadamu aliye chini ya Jua ameweza kuona udhaifu kwenye maamuzi ya serikali ya Samia, je aliyeko juu? Mama Samia jipe muda ujitafakari.
 
Hapo sasa ndio patamu 🙌😅
 
Mahakama inaanza kujitambua bado wale wa kugonga meza
 
Nasubiria tangazo la hakimu kufutwa Kazi. Ameuabisha muhimili uliojichimbia chini zaidi
 
Serikali ya Tanzania haita kuwa na muda wa kusikiliza upuuzi wa mahakama na majaji njaa.

Pesa za waarabu ni tamu sana.
 
Safi sana.

Walewe kwamba Chadema huwa tunasimama kwenye mstari ulionyoka
 
Zimwi la linaloharibu mfumo wa mahakama hapa nchini ni Mahaka ya rufaa. Hapo serikali itakata rufaa na zuio hili utasikia limetupiliwa mbali
Labda kama Nabii Mwabukusi ataenda likizo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…