Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Wale Wapumbavu waliosema ni Sahihi wakuje hapa wabishane na mahakama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
#KICHUPAWale Wapumbavu waliosema ni Sahihi wakuje hapa wabishane na mahakama
Kwani kesi ya Covid 19 inaendeleaje ?! 😀Inawezekana ndiye kawapa ruhusa mahakama, kama njia ya kuchomokea katika hayo maamuzi halafu anachukua point 3 hadi kwa CDM kwa kuheshimu maamuzi
Jibu ni kwamba atapuuza, serikali haiheshimu mahakamaJe Hangaya ataheshimu Amri ya Mahakama?
Hapo sasa ndio patamu 🙌😅Nguvu ya mahakama ilikufa rasmi awamu ya 5,,tena baada ya wabunge Covid 19 kubaki bungeni wakati sheria ilikuwa imevunjwa..
Nilisoma mahali Andrew Jackson,raisi wa zamani wa Marekani aliwahi kuiambia Supreme Court ya nchi hiyo kuwa waje na bunduki wamzuie kuwaondoa native Indians kwenye ardhi yao. Hiyo ni baada ya mahakama kumwambia aache mara moja kuwasumbua hao wahindi.
His direct words were - "John Marshall has made his decision; now let him enforce it"
Chief Hangaya akisema mahakimu waliofanya hayo maamuzi waje wamzuie , je kuna atakayethubutu?.Tumeshuhudia spika akijiuzulu na kupotea kimya kimya baada ya kukingiana kifua na executive
Power resides where people believe it resides.do we as Tanzanians believe the court can overrule executive authority??
Mahakama inaanza kujitambua bado wale wa kugonga mezaUmuamuzi huo umetolewa leo August 22,2024 mbele ya Jaji Mwenda wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha katika kesi namba 59630 ya mwaka 2024 kufuatia maombi yaliyopelekwa Mahakamani na Mpeleka maombi Isaya Ole Posi ya kuiomba ipime na kutazama kama amri ile ilikuwa halali au la hasha au kama ilitolewa na Mtu mwenye Mamlaka ya kisheria kufanya hivyo.
Nyumbani ni nyumbani, warudi haraka!!Naona moto unafuka hapo soon, wale waliohama tayari wakirudi itakuaje?
Umetangulia Kwa baiskeli ya mbao unajisifu!? Ubao ukibadilika usilalameAibu kuu iwapate Chawa wote wa ccm humu jf, walioamini amri za Mtu na mkwewe ni amri za Mungu
Safi sana.Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imesimamisha utekelezaji wa amri iliyokuwa imetolewa na Serikali kupitia tangazo la Serikali namba 673 ya 2024 la kufuta vijiji, kata na vitongoji pamoja na kusitisha tangazo la kuwataka Wananchi kuhama katika Wilaya la Ngorongoro.
Umuamuzi huo umetolewa leo August 22,2024 mbele ya Jaji Mwenda wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha katika kesi namba 59630 ya mwaka 2024 kufuatia maombi yaliyopelekwa Mahakamani na Mpeleka maombi Isaya Ole Posi ya kuiomba ipime na kutazama kama amri ile ilikuwa halali au la hasha au kama ilitolewa na Mtu mwenye Mamlaka ya kisheria kufanya hivyo.
Wakili wa kujitegemea Peter Njau akimuwakilisha Mteja wake Isaya Ole posi amesema Mteja wake alikuwa Mwathirika wa kuondolewa katika eneo hilo jambo ambalo aliamua kwenda Mahakamani kupinga kitendo hicho.
MBWA WAMEANZA KUBWEKA
View attachment 3076651
Iko vile !Kusimamisha jambo moja , na uamuzi wa mwisho jambo jingine
Labda kama Nabii Mwabukusi ataenda likizo!!Zimwi la linaloharibu mfumo wa mahakama hapa nchini ni Mahaka ya rufaa. Hapo serikali itakata rufaa na zuio hili utasikia limetupiliwa mbali