Mahakama yazuia Vijiji vya Ngorongoro Kufutwa
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imesimamisha utekelezaji wa amri iliyokuwa imetolewa na Serikali kupitia tangazo la Serikali namba 673 ya 2024 la kufuta vijiji, kata na vitongoji pamoja na kusitisha tangazo la kuwataka Wananchi kuhama katika Wilaya la Ngorongoro.

Umuamuzi huo umetolewa leo August 22,2024 mbele ya Jaji Mwenda wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha katika kesi namba 59630 ya mwaka 2024 kufuatia maombi yaliyopelekwa Mahakamani na Mpeleka maombi Isaya Ole Posi ya kuiomba ipime na kutazama kama amri ile ilikuwa halali au la hasha au kama ilitolewa na Mtu mwenye Mamlaka ya kisheria kufanya hivyo.

Wakili wa kujitegemea Peter Njau akimuwakilisha Mteja wake Isaya Ole posi amesema Mteja wake alikuwa Mwathirika wa kuondolewa katika eneo hilo jambo ambalo aliamua kwenda Mahakamani kupinga kitendo hicho.

MBWA WAMEANZA KUBWEKA

###Maria Sarungi Tsehai###
🚨 TAHADHARI ‼️🚨
Hii kesi haieleweki ilifunguliwa lini na nani - isije ikawa danganya toto wamaasai warudi kwao alafu wiki ijayo tutasikia Feleshi huko mahakama ya Rufaa katupilia mbali maamuzi ya Mahakama Kuu ya Arusha!
Kuweni makini ndugu zetu
Tunachotaka sheria IFUTWE!
#StopMaasaiEviction

Lucas Mwashambwa chura kiziwi angali hasikii?
 
Watu wanapaswa kuelewa kuwa uwekezaji unaofanywa kwenye maeneo hayo ambayo wamasai wanayapigania ni Kwa ajili ya masrahi mapana ya nchi.

Hivyo hawana budi kuondoka,kilichofanyika hapa kwa huyo muombaji wa kusitisha agiza la serikali ni sawa na kutangulia safari ya mbali Kwa baiskeli ya mbao lazima tutakupita tu sisi wa nyuma tutakapo Anza safari na baiskeli zetu za chuma
Kitoa mavi mkubwa wewe!
yanakimbia vita zao uchwara huko na kuja kutusumbua sisi eti wanawekeza
 
Watu wanapaswa kuelewa kuwa uwekezaji unaofanywa kwenye maeneo hayo ambayo wamasai wanayapigania ni Kwa ajili ya masrahi mapana ya nchi.

Hivyo hawana budi kuondoka,kilichofanyika hapa kwa huyo muombaji wa kusitisha agiza la serikali ni sawa na kutangulia safari ya mbali Kwa baiskeli ya mbao lazima tutakupita tu sisi wa nyuma tutakapo Anza safari na baiskeli zetu za chuma
Msamiati mzuri. Mama anaupiga mwingi.
 
Msomera hapafai asema mbunge za zamani, na kusimulia kwa kina sababu zake

View: https://m.youtube.com/watch?v=UjEt9Hm_ynk

Mbunge huyo mstaafu anajuta na kusema eneo la Msomera hakuna malisho, kupo kame sana tofauti na nyanda za juu za Ngorongoro mkoa wa Arusha hali ya hewa ni rafiki kutokana yakuwa ipo juu kijiografia kutoka usawa wa bahari joto kali halipo Ngorongoro, na pia hapo Msomera mtihani mwingine ni .....
 
Back
Top Bottom