Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Fedheha kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja inyeshe sasa , tuone matoboMahakama Kuu Kanda ya Arusha imesimamisha utekelezaji wa amri iliyokuwa imetolewa na Serikali kupitia tangazo la Serikali namba 673 ya 2024 la kufuta vijiji, kata na vitongoji pamoja na kusitisha tangazo la kuwataka Wananchi kuhama katika Wilaya la Ngorongoro.
Umuamuzi huo umetolewa leo August 22,2024 mbele ya Jaji Mwenda wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha katika kesi namba 59630 ya mwaka 2024 kufuatia maombi yaliyopelekwa Mahakamani na Mpeleka maombi Isaya Ole Posi ya kuiomba ipime na kutazama kama amri ile ilikuwa halali au la hasha au kama ilitolewa na Mtu mwenye Mamlaka ya kisheria kufanya hivyo.
Wakili wa kujitegemea Peter Njau akimuwakilisha Mteja wake Isaya Ole posi amesema Mteja wake alikuwa Mwathirika wa kuondolewa katika eneo hilo jambo ambalo aliamua kwenda Mahakamani kupinga kitendo hicho.
MBWA WAMEANZA KUBWEKA
=============
###Maria Sarungi Tsehai###
🚨 TAHADHARI ‼️🚨
Hii kesi haieleweki ilifunguliwa lini na nani - isije ikawa danganya toto wamaasai warudi kwao alafu wiki ijayo tutasikia Feleshi huko mahakama ya Rufaa katupilia mbali maamuzi ya Mahakama Kuu ya Arusha!
Kuweni makini ndugu zetu
Tunachotaka sheria IFUTWE!
#StopMaasaiEviction
===================
Fedheha kabisa
Ebu toka zako bwana, uwekezaji kila siku imekua kama wimbo hasa nyie machawa , tangu nchi hii umekuwepo uwekezaji nini faida ya kujivunia taifa limepata, acheni unafiki ,mtakuja kufa midomo waziWatu wanapaswa kuelewa kuwa uwekezaji unaofanywa kwenye maeneo hayo ambayo wamasai wanayapigania ni Kwa ajili ya masrahi mapana ya nchi.
Hivyo hawana budi kuondoka,kilichofanyika hapa kwa huyo muombaji wa kusitisha agiza la serikali ni sawa na kutangulia safari ya mbali Kwa baiskeli ya mbao lazima tutakupita tu sisi wa nyuma tutakapo Anza safari na baiskeli zetu za chuma
Wale wana hakil zaid unavyo waona sema tu awanaga mbwembwe wametulia uyo unaye muona ana akili kwao wanamuona wakawaidaHuyu ndio ana akili sio wale wa kurukaruka na fimbo na sime
Aanze kujifunza haya mambo.Je Hangaya ataheshimu Amri ya Mahakama?
Kumbe Machadema wanakubaliana kwamba mahakama sio za ccm Wala Serikali na ziko huru na zinatenda Haki si ndio?Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imesimamisha utekelezaji wa amri iliyokuwa imetolewa na Serikali kupitia tangazo la Serikali namba 673 ya 2024 la kufuta vijiji, kata na vitongoji pamoja na kusitisha tangazo la kuwataka Wananchi kuhama katika Wilaya la Ngorongoro.
Umuamuzi huo umetolewa leo August 22,2024 mbele ya Jaji Mwenda wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha katika kesi namba 59630 ya mwaka 2024 kufuatia maombi yaliyopelekwa Mahakamani na Mpeleka maombi Isaya Ole Posi ya kuiomba ipime na kutazama kama amri ile ilikuwa halali au la hasha au kama ilitolewa na Mtu mwenye Mamlaka ya kisheria kufanya hivyo.
Wakili wa kujitegemea Peter Njau akimuwakilisha Mteja wake Isaya Ole posi amesema Mteja wake alikuwa Mwathirika wa kuondolewa katika eneo hilo jambo ambalo aliamua kwenda Mahakamani kupinga kitendo hicho.
MBWA WAMEANZA KUBWEKA
=============
###Maria Sarungi Tsehai###
🚨 TAHADHARI ‼️🚨
Hii kesi haieleweki ilifunguliwa lini na nani - isije ikawa danganya toto wamaasai warudi kwao alafu wiki ijayo tutasikia Feleshi huko mahakama ya Rufaa katupilia mbali maamuzi ya Mahakama Kuu ya Arusha!
Kuweni makini ndugu zetu
Tunachotaka sheria IFUTWE!
#StopMaasaiEviction
===================
God Bless TanganyikaMahakama Kuu Kanda ya Arusha imesimamisha utekelezaji wa amri iliyokuwa imetolewa na Serikali kupitia tangazo la Serikali namba 673 ya 2024 la kufuta vijiji, kata na vitongoji pamoja na kusitisha tangazo la kuwataka Wananchi kuhama katika Wilaya la Ngorongoro.
Umuamuzi huo umetolewa leo August 22,2024 mbele ya Jaji Mwenda wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha katika kesi namba 59630 ya mwaka 2024 kufuatia maombi yaliyopelekwa Mahakamani na Mpeleka maombi Isaya Ole Posi ya kuiomba ipime na kutazama kama amri ile ilikuwa halali au la hasha au kama ilitolewa na Mtu mwenye Mamlaka ya kisheria kufanya hivyo.
Wakili wa kujitegemea Peter Njau akimuwakilisha Mteja wake Isaya Ole posi amesema Mteja wake alikuwa Mwathirika wa kuondolewa katika eneo hilo jambo ambalo aliamua kwenda Mahakamani kupinga kitendo hicho.
MBWA WAMEANZA KUBWEKA
=============
###Maria Sarungi Tsehai###
🚨 TAHADHARI ‼️🚨
Hii kesi haieleweki ilifunguliwa lini na nani - isije ikawa danganya toto wamaasai warudi kwao alafu wiki ijayo tutasikia Feleshi huko mahakama ya Rufaa katupilia mbali maamuzi ya Mahakama Kuu ya Arusha!
Kuweni makini ndugu zetu
Tunachotaka sheria IFUTWE!
#StopMaasaiEviction
===================
Thubutu......ccm ni ile ile oooh ni ile ileKumbe Machadema wanakubaliana kwamba mahakama sio za ccm Wala Serikali na ziko huru na zinatenda Haki si ndio?