Utashangaa pamoja na hiyo huzuni mahakama inafanya maamuzi ya hovyo
Mwambie yeye mwaka mmoja analalamika wenzake mashekhe walikaa miaka 10 mahabusu, msisahau kumwambia hakuna ambaye yupo juu ya sheria yeyote akikosea lazima sheria ihusike halafu mbona lissu analalamika kama kaonewa wakati yupo Mahakamani sehemu sahihi yeye kujitetea kama hana kosa hatafungwa kama anakosa atafungwa asiongee vitu kama layman, ajue sheria haiangalii mjuzi wala mjinga, apambane kujitetea akishinda ataachiwa.Mahakamani ulikuwa uwanja wa hudhuni sana watu wamelia kwa uchungu sana hata Katibu mkuu John Mnyika ametokwa na machozi hasa pale Tundu Lissu aliposema kama mnanifanyia hivi Mimi mjuzi wa Sheria mmeniweka Gerezani Mwaka mzima kwa makosa ya uongo.
Vipi kuhusu watanzania wasiojua Sheria 😭
Vipi wewe unayesoma hapa ukipewa Kesi ya UONGO Baba yako hajulikani hata na Diwani wa Kata ambaye aliingia madarakani kwa ile hali ya 29 October?
Mama yako hajulikani hata na mtendaji wa kata ?
Haki kwanza
Bado anasema makosa ya uongo,haisee hiri rijamaa rina kiburi kizito sana!/rinapinga ushahidi wa waziwazi uliotolewa hadharani?Mahakamani ulikuwa uwanja wa hudhuni sana watu wamelia kwa uchungu sana hata Katibu mkuu John Mnyika ametokwa na machozi hasa pale Tundu Lissu aliposema kama mnanifanyia hivi Mimi mjuzi wa Sheria mmeniweka Gerezani Mwaka mzima kwa makosa ya uongo.
Vipi kuhusu watanzania wasiojua Sheria 😭
Vipi wewe unayesoma hapa ukipewa Kesi ya UONGO Baba yako hajulikani hata na Diwani wa Kata ambaye aliingia madarakani kwa ile hali ya 29 October?
Mama yako hajulikani hata na mtendaji wa kata ?
Haki kwanza
Una ushahidi?Safe house kwa sasa ni ngumu kuziendesha, enzi za nyerere sawa. Hao watu wameuwawa mkuu. Ni ukweli lakini mchungu.
yeye kusema ni uongo ni sahihi majaji watapimaBado anasema makosa ya uongo,haisee hiri rijamaa rina kiburi kizito sana!/rinapinga ushahidi wa waziwazi uliotolewa hadharani?
Inakuaje gharama za kuwatunza kwa muda wote huo? Kula, mavazi? Dharura, ugonjwa etc?Isije kuwa dola ina safe house ambapo inakusanya hao raia Ben sanane , nchimbi, pole pole...nk
Sasa kama mafisadi wanaiba mabilion ya fedha watashindwa kulea watu miaInakuaje gharama za kuwatunza kwa muda wote huo? Kula, mavazi? Dharura, ugonjwa etc?
Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli inawatafuna
Wanaiba kwa manufaa yao na vizazi vyao, na sio hawa wengine. Au mie ndio sielewi?Sasa kama mafisadi wanaiba mabilion ya fedha watashindwa kulea watu mia
Kuna mbinu wanaitumia kutia huruma ili majaji wamuonee huruma watafute mwanya wamwachie.Acha walie
Maana hao wanapga mazoezi jinsi ya kulia siku atakapopigwa kitanzi...
Hv anajua kauli zake za uasi zilivyoharibu maisha ya watu siku ya okt 29
Huyu mbwa hata alie machozi ya barafu hakuna cha huruma nonsense!
Hii kauli itolewe sasa hivi na mtu, ni UHAINI.
wakati wake aliwaruhusu hao vijana?
wakati wake hakuwashtaki kwa uhaini vijana wa watu? wakati wake hakumuua Karume? wakati wake kuna mtu alimfungia mji mwema Kigamboni mmesahau?Hii kauli itolewe sasa hivi na mtu, ni UHAINI.
Hii kauli itolewe sasa hivi na mtu, ni UHAINI.
wakati wake aliwaruhusu hao vijana?
Oooh kumbe ni vigeu geu hawa mboga mboga toka mzee wao mchonga?wakati wake hakuwashtaki kwa uhaini vijana wa watu? wakati wake hakumuua Karume? wakati wake kuna mtu alimfungia mji mwema Kigamboni mmesahau?
Porojo, hakuna uhuru wa matusi.
Oooh sasa mbona hawa wa sasa wanakiuka katiba hiyo?