Mahali ambapo Shetani hawezi kufika huwa anatuma mwanamke

Mahali ambapo Shetani hawezi kufika huwa anatuma mwanamke

Na sisi ambao hatupati pisi kabisa ni kuwa shetani hatuhitaji kabisa au anatuogopa. Maana kama kufika hafiki,sijawahi kuonana nae.
ukiona hivyo wewe ni wake hatumii nguvu yoyote kukipata, atakushawish ukabet kesi imeisha
 
Mada yenyewe sio ngumu ila kichwa chako ndo kigumu umeshindwa kuelewa kinachoongelewa

Members wengi wote wameelewa mada isipokuwa kilaza mmoja tu ambaye ndo wewe
Naona unafanya kazi ya kunilisha maneno.
Hakuna sehemu nimesema mada ni ngumu.

tafsiri ya neno "Controversial " kwa Kiswahili ni "Yenye Utata".

Utata uko hapa umeandika " Mahali ambapo shetani hawezi kufika huwa anatuma Mwanamke"

ningekuona wewe si mjinga kama ungeeleza ni vitendo gani Mwanamke akifanya anakuwa ametumwa na Shetani.

Na je hivyo vitendo au vya kufanana na hivyo Mwanaume hajawahi kufanya.
Na kama anafanya alitumwa na nani?


Lakini pia mada yako kukubalika na watu wengi haimanishi uko sahihi au si ya kijinga.
 
Hapana , mtoa mada sio mjinga. Mbona amesema "Mahali ambapo Shetani hawezi kufika....?" ina maana mahali ambapo Shetani anaweza kufika hatamtuma mwanamke bali ataenda yeye mwenyewe. Umeelewa sasa?
Nikuulize, ni mahali gani hapo ambapo shetani hawezi kufika?
 
Nikuulize, ni mahali gani hapo ambapo shetani hawezi kufika?
Mkuu; Labda nitoe mifano michache tu lakini kwa nia njema:
1. Katika maeneo matakatifu e.g. Misikitini na makanisani
2. Maeneo yenye amani/utulivu e.g. katika Familia
3. Nafsi tulivu i.e. Peaceful minds (the Intellect)
 
Of course a woman is a devil incarnate if not the devil himself
Ufala huu. Wanawake ni maua yetu, bila wao dunia ingekuwa mbaya mnoooooo. Mbaya sanaaaa. Da, kwanza hata kuimagine haifai.
 
Bado hamjasemaaaaa......

hadi tuwatoe roho.
Mwe, mwe, mweeee. Dah! Na Kulia kote huko nyie bado hamuoni kwamba wanaumia? Hv Shetani huwa anawalipaga nini kwa kazi hiyo ya kuwatuma nyie ili tuone kama inawezekana kumpiku? (Samahani lakini-Naomba ukitumwa kwangu ukatae ili ucje kwangu).
 
Jichunguze vizuri brother inaezekana na wewe ni mwanamke na labda hujijui😅

Mwanaume kamili unakosaje pisi kwa karne hii ya 21 iliyosheheni wanawake lukuki
Kwani kuna karne haijawahi kuwa nao lukuki?
 
Back
Top Bottom