Mahandaki maalum kwa Viongozi wakuu wa Israel yameandaliwa na Idara ya ujasusi ya shin bet, yapo Jerusalem

Mahandaki maalum kwa Viongozi wakuu wa Israel yameandaliwa na Idara ya ujasusi ya shin bet, yapo Jerusalem

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni?

Mahandaki maalum Kwa Viongozi wakuu Israel yameansaliwa na idara ya ujasusi ya Jeshi la Israel almaarufu shin bet

Mahandaki hayo yapo jijini Yerusalemu na yanauwezo mkubwa kuhimili mashambulizi ya makombora na viongozi hao watasalia huko kwa kipindi chote cha vita

Taarifa kamili hapo

Shin Bet prepares underground bunker for leaders in case of war
Today, 5:17 pm
27

An underground bunker in Jerusalem where senior leaders can remain for an extended period during a war has been prepared by the Shin Bet security service, the Walla news site reports.

The bunker can sustain hits from a range of existing weaponry, has command and control capabilities, and is connected to the Defense Ministry headquarters in Tel Aviv, the report says.
 
1000161863.jpg
 
Maneno mengiiiii porojo nyingii

Iran si aanzishe hiyo vita aone mziki wake

Israel wameshasema wazi wako.tayari kuua viongozi wa juu wa Iran kila shambulio wakifanya

Israel uzuri ikishughulika na Iran haiuwi wananchi wa Iran wa kawaida ni kula vichwa vya viongozi wakubwa tu tena bila woga

Iran aanzishe vita aone muziki wake

Mossad kibao wako Iran wanasubiri Iran arushe kombora Israel wale kichwa

Makombora yaliyorushwa Israel kwa mamia yakaua mtoto.mdogo yalijibiwa kwa kuondoka na kichwa cha Raisi wa Iran na kiongozi mkuu wa Hamas

Warushe tena tuone vichwa vikubwa vitakavyoliwa
 
Sasa wanajificha kwasababu gani wakati tumeambiwa Iran hana uwezo wowote wa kijeshi.

Qmmmk hao Mazayuni ni kunguru kinoma yamejipendelea viongozi kujifucha ili wananchi wafe.

Kama sio leo usiku basi mida ya alfajiri kipigo kitawahusu Mazayuni vyuma vitapepea angani hadi ardhini bila kupingwa.
 
Back
Top Bottom