Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
- #21
Ndiyo hivyo, unaondoa proffessionals na kuweka mediocre characters, Makamba, Maharage et al!Mama Abdul anatupeleka shimoni!
Anamuondoa Mwenyekiti wa Bodi Engineer Kyaruzi anamuweka Omar Isa(former CEO of BRN) na January Makamba anateua Bankers kuwa Board members;akina Mafuru na Mchechu et al!
Wanapeleka mawazo kwa Rais eti wanataka kufumua gridi ya taifa kwa trilioni 11!!
Nyie....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Matokeo tunayaona kabla jua halijazama, mafuta hakuna , umeme hakuna!