Maharage ana uwezo kweli kuendesha shirika la kitaalam kama TANESCO?

Bwana Maharage Ally Chande, rasmi sasa AMEONDOLEWA TANESC0 na Rais Samia Suluhu na kupelekwa TTCL, mahali pa mawasiliano(ina shabibiana na DSTV).
Asante mama, unapitia maoni mitandaoni(hasa JF) ingawaje watu kama Nape wanaidharau.
Kweli mama na watu wake wanapitia hii mitandao na kuchukua hatua kwa constructive ideas.
 
View attachment 2756773
Maharage Ally Chande amekuwa MD wa TANESCO kwa takriban miaka miwili sasa.

Kama kuna vigezo vya kumpima utendaji, basi kwa sasa vimekuwa juu kwa MD wetu maana utendaji unapimwa na output, umeme kwa wananchi, jamii na biashara kwa ujumla.

Wakati wa miaka ya Magufuli, umeme haukuwa unakatwa ovyo pamoja na miaka ya upungufu wa maji.

Sasa basi ndio tunajiuliza kama bwana Maharage asiye na technical background, anaiweza kazi aliyopewa?

Bodi na management iliyokuwepo kabla ya kina Maharage & co. hawajaingia, mbona ilikuwa ina tenda kazi vizuri tu?

Serikali kwa sasa inavuna matokeo ya kubadili badili viongozi isivyoleta tija katika mashirika strategic kama TANESCO.
Unaondoa proffessionals na kuingiza mediocre characters.

At least one mediocre characters , January Makamba, is out.
Serikali ijitathmini na ifanye kazi na proffessionals husika, katika uongozi wa TANESCO.

UPDATE
Bwana Maharage Ally Chande, rasmi sasa AMEONDOLEWA TANESC na Rais Samia Suluhu na kupelekwa TTCL, mahali pa mawasiliano(ina shabibiana na DSTV).
Asant mama, unapitia maoni ingawaje watu kama Nape wanaidharau.
Simjui Mr Maharage ila kiukweli TANESCO ni shirika gumu sana kuongoza. Linahiitaji Bodi na Menejiment makini ngazi zote na uadilifu mkubwa kupita kiasi. Tumwombee huko aliko na huyu ajaye; they are doing their best.
 
WATANZANIA walipiga kelele nyingi sana baada ya januari na maharage na bodi mpya kuteuliwa wakapuuzwa sasa matokeo yameprove wamefeli vibaya nchi iko gizani

Aibu kwa samia na mamlaka yake ya uteuzi waliteuwa kimihemko badala ya kuangalia weledi ona sasa kamrudisha Mhandisi kuwa Mkurugenzi

Na bodi kaiweka Mwenyekiti mpya

Rais apunguze kuziba masikio 😕
 
View attachment 2756773
Maharage Ally Chande amekuwa MD wa TANESCO kwa takriban miaka miwili sasa.

Kama kuna vigezo vya kumpima utendaji, basi kwa sasa vimekuwa juu kwa MD wetu maana utendaji unapimwa na output, umeme kwa wananchi, jamii na biashara kwa ujumla.

Wakati wa miaka ya Magufuli, umeme haukuwa unakatwa ovyo pamoja na miaka ya upungufu wa maji.

Sasa basi ndio tunajiuliza kama bwana Maharage asiye na technical background, anaiweza kazi aliyopewa?

Bodi na management iliyokuwepo kabla ya kina Maharage & co. hawajaingia, mbona ilikuwa ina tenda kazi vizuri tu?

Serikali kwa sasa inavuna matokeo ya kubadili badili viongozi isivyoleta tija katika mashirika strategic kama TANESCO.
Unaondoa proffessionals na kuingiza mediocre characters.

At least one mediocre characters , January Makamba, is out.
Serikali ijitathmini na ifanye kazi na proffessionals husika, katika uongozi wa TANESCO.

UPDATE
Bwana Maharage Ally Chande, rasmi sasa AMEONDOLEWA TANESC na Rais Samia Suluhu na kupelekwa TTCL, mahali pa mawasiliano(ina shabibiana na DSTV).
Asant mama, unapitia maoni ingawaje watu kama Nape wanaidharau.
Mama kafanya kweli!.
 
Mbona kipindi cha Mwendazake umeme haukuwa wa mgao? Wala haukukatika katika kama kipindi hiki?

Wao walizalisha kutoka wapi? Bwana yule alituambia vifaa vya umeme/mitambo ilikuwa imechakaa na akaahidi anavifanyia matengenezo mara bla bla za miaka yote eti havikufanyiwa maintenance je hayo matengenezo bado hayajaisha????

Ukweli ni wa mtoa mada. Wanawekwa watu unprofessional na vilaza ndo matokeo yake hayo. They're busy with their own deals.No one who cares about the public !
Siwatetei hao wahuni najua ni watu wa hovyo tuu , ukiangalia vizuri tatizo la umeme Tanzania ni kwa sababu ya sheria na sera zetu wenyewe tulizojiwekea katika sekta ya umeme, kwanini shirika moja tuu ndio lipewe monopoly kwenye nchi ya watu zaidi ya milioni 70? huoni kama hilo ni tatizo? shirika linakusanya trillions lakini bila ruzuku ya serikali umeme unazima nchi nzima, CEO wa TANESCO anachaguliwa kisiasa sio kiutaalam kwa hiyo akiwa rafiki au akimfurahisha aliyemteua atakuwa safe, tuwe serious tuje na sheria mpya zitakazo tupatia strong regulatory body ya kulinda wadau wote wa umeme, capital, technology na utaalam sio tatizo, viko pembeni tuu vinasubiri, siamini na gas yote tuliyonayo bado tuna shida ya umeme, tatizo ni sisi wenyewe
 
WATANZANIA walipiga kelele nyingi sana baada ya januari na maharage na bodi mpya kuteuliwa wakapuuzwa sasa matokeo yameprove wamefeli vibaya nchi iko gizani

Aibu kwa samia na mamlaka yake ya uteuzi waliteuwa kimihemko badala ya kuangalia weledi ona sasa kamrudisha Mhandisi kuwa Mkurugenzi

Na bodi kaiweka Mwenyekiti mpya

Rais apunguze kuziba masikio 😕
January Makamba kajiwekea historia mbaya sana katika uongozi wa wizara ya Nishati. Kaingia yeye, muda mfupi ti mafuta hamna na umeme hmna.
Mbaya zaidi hakuwa na hata aidea atafanya nini kuondoa Taifa kwenye taabu aliloliingizia Taifa.
Kule China watu kama hawa ni rsasi inawahusu.
 
Hakika rekodi ya kuliacha Taifa gizani na petrol juu haitamuacha salama huko aliko ajitafakari japo Nina uhakika anajiona kakwepa kihunzi kwenda kufichwa mambo ya nje ambako hata akiunderpeform vipi haina direct impact kwa jamii

Ila tunashukuru ujinga wake na kubebwa kwake kumedhihirika wazi wizara ya nishati
 
Naafiki, inakuwaje tena aliyeharibu huko Nishati akapelekwa kwingine alimradi ni failure ktik uongozi.
 
View attachment 2756773
Maharage Ally Chande amekuwa MD wa TANESCO kwa takriban miaka miwili sasa.

Kama kuna vigezo vya kumpima utendaji, basi kwa sasa vimekuwa juu kwa MD wetu maana utendaji unapimwa na output, umeme kwa wananchi, jamii na biashara kwa ujumla.

Wakati wa miaka ya Magufuli, umeme haukuwa unakatwa ovyo pamoja na miaka ya upungufu wa maji.

Sasa basi ndio tunajiuliza kama bwana Maharage asiye na technical background, anaiweza kazi aliyopewa?

Bodi na management iliyokuwepo kabla ya kina Maharage & co. hawajaingia, mbona ilikuwa ina tenda kazi vizuri tu?

Serikali kwa sasa inavuna matokeo ya kubadili badili viongozi isivyoleta tija katika mashirika strategic kama TANESCO.
Unaondoa proffessionals na kuingiza mediocre characters.

At least one mediocre characters , January Makamba, is out.
Serikali ijitathmini na ifanye kazi na proffessionals husika, katika uongozi wa TANESCO.

UPDATE
Bwana Maharage Ally Chande, rasmi sasa AMEONDOLEWA TANESC na Rais Samia Suluhu na kupelekwa TTCL, mahali pa mawasiliano(ina shabibiana na DSTV).
Asant mama, unapitia maoni ingawaje watu kama Nape wanaidharau.
TTCL Napo ametolewa ni posta masta mkuu
 
Hakika rekodi ya kuliacha Taifa gizani na petrol juu haitamuacha salama huko aliko ajitafakari japo Nina uhakika anajiona kakwepa kihunzi kwenda kufichwa mambo ya nje ambako hata akiunderpeform vipi haina direct impact kwa jamii

Ila tunashukuru ujinga wake na kubebwa kwake kumedhihirika wazi wizara ya nishati
Makamba maekuja kulinajsi tenesco halafu akasepa sojui saa100 huwa anatuonaje kwa kweli
 
Tutalaumu sana lakini hata aje nani lile shirika na serikali hawana uwezo wa kuzalisha umeme wa uhakika na kusambaza kwa bei nzuri nchi nzima, dawa ni moja tuu, waruhusu makampuni binafsi washiriki hiyo biashara na kuiondolea TANESCO monopoly.

Sio lazima wauze TANESCO, waruhusu tuu private sector na waweke sera nzuri za kuwalinda wanunuzi, mashirika ya umeme na wadau wote wa umeme bila upendeleo, nakuhakikishia tatizo la umeme litakuwa ni kama kuongelea stone age, tatizo la kukosa umeme au maji dunia ya leo ni kwa watu wasio na akili tuu
Mkuu si kweli, Tanesco ni ng'ombe wa maziwa wa wakubwa, Tanzania tuna kila kitu ambacho ni chanzo cha nishati, tuna maporomoko na mito,tuna gesi, tuna jua ,tuna upepo, nenda hapo Kenya uone shirika lao la stima linavyofanya kazi na kutafuta vyanzo vya nishati, sisi tukiamua tunaweza kufanya tatizo la mgao wa umeme liwe la historia, naamini kabisa angekuwepo Magufuri uhuni huu wa akina Kipara na Mabeans usingekuwepo na umeme usingekuwa mgao, hili taizo la umeme ni la kutengenezwa na baadhi ya genge la wahuni wachache, baada ya kuuona uhuni huo Magufuri akaamua kulivalia njuga suala la bwawa la Nyerere, kwani gesi ya Mtwara ambayo watu waliifanyia maandamano na kutaka eti wajitenge yote imechukuliwa na wajanja ambao wanaiuzia Tanesco hiyo gesi badala ya Tanesco wenyewe kuwa ndio wenye gesi, najua utasema Tanesco hawana uwezo wa kuchimba gesi na nitakujibu wana uwezo mbona wamechimba mabwawa ya maji kwa kushirikiana na serikali, na hata gesi si ndio hao hao wa remote ndio walikuwa na mamlaka ya juu ya gesi.
 
Back
Top Bottom