Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Kuna aliyeiweza Tanesco?? Ebu Lete performance rates zakeKalemani aliwezaje? ukiwa mla rushwa hutapaweza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna aliyeiweza Tanesco?? Ebu Lete performance rates zakeKalemani aliwezaje? ukiwa mla rushwa hutapaweza
Umeme ulikuwa ni cheap, pia ulikuwa haukatiki hovyo kama sasa, alikuwa anafika site kujionea mpk gas za majumbani alikuwa anafuatilia.Kuna aliyeiweza Tanesco?? Ebu Lete performance rates zake
Sio kipumbavupumbavu namna hiiWakati wa jpm umeme ulikuwa unakatwa ila kuna msemo ukipenda kipofu utamwita ana chongo
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Hapo kwenye Magufuli aliwaza mbali umekosea. Kama Magufuli angekuwa na akili angeendeleza phase 3 & 4 za Kinyerezi.Magufuli aliwaza mbali kuona kwamba hakuna namna nyingine zaidi ya kujenga mwalimu Nyerere HPP. Ndie mtu pekee kwenye kizazi hiki na kijacho aliyethubutu kuhakikisha anakabiliana na changamoto za umeme.
Kwa sasa mkombozi ni JNHPP hakuna namna nyingine hata aletwe mamalaika.
Mkuu acha kupotosha facts.Hapo kwenye Magufuli aliwaza mbali umekosea. Kama Magufuli angekuwa na akili angeendeleza phase 3 & 4 za Kinyerezi.
Kwa sasa Kinyerezi 1 & 2 alizoziacha Jakaya Kikwette zina kidhi mahitaji ya umeme kwa 65% maana kila moja inazalisha 400MW.
Magufuli aliwajaza ujinga kwa kwenda kufufua mradi uliofanyiwa feasibility study mwaka 1978 wakati wa Nyerere. Hayo makaratasi yalikuwapo RUBADA ila kwa taarufa yako kati ya 1978 ilipofanywa feasibility study na 2017 Dikteta Magufuli alipolazimisha JNEHP Dam ijengwe maji ya mto Ruaha na Kilombero ambavyo ndivyo vinailisha Rufiji yalikuwa yamepungua kwa 40%. Sababu za upungufu ni mabadiliko ya tabia nchi na shughuli za kibinadamu along the river basin
Sio kweli. Kinyerezi 1 ina 180MW na kinyerezi 2 ina 240 MW.Hapo kwenye Magufuli aliwaza mbali umekosea. Kama Magufuli angekuwa na akili angeendeleza phase 3 & 4 za Kinyerezi.
Kwa sasa Kinyerezi 1 & 2 alizoziacha Jakaya Kikwette zina kidhi mahitaji ya umeme kwa 65% maana kila moja inazalisha 400MW.
Magufuli aliwajaza ujinga kwa kwenda kufufua mradi uliofanyiwa feasibility study mwaka 1978 wakati wa Nyerere. Hayo makaratasi yalikuwapo RUBADA ila kwa taarufa yako kati ya 1978 ilipofanywa feasibility study na 2017 Dikteta Magufuli alipolazimisha JNEHP Dam ijengwe maji ya mto Ruaha na Kilombero ambavyo ndivyo vinailisha Rufiji yalikuwa yamepungua kwa 40%. Sababu za upungufu ni mabadiliko ya tabia nchi na shughuli za kibinadamu along the river basin
Umemshambulia sana Dogo…Soma vizuri uelewe, its Technical Management.
Poor Technical Management toka Ministry level, TANESCO Board level, na mwisho Management level ndio hovyo kabisa.
Kinyerezi haina hio capacity mzeeHapo kwenye Magufuli aliwaza mbali umekosea. Kama Magufuli angekuwa na akili angeendeleza phase 3 & 4 za Kinyerezi.
Kwa sasa Kinyerezi 1 & 2 alizoziacha Jakaya Kikwette zina kidhi mahitaji ya umeme kwa 65% maana kila moja inazalisha 400MW.
Magufuli aliwajaza ujinga kwa kwenda kufufua mradi uliofanyiwa feasibility study mwaka 1978 wakati wa Nyerere. Hayo makaratasi yalikuwapo RUBADA ila kwa taarufa yako kati ya 1978 ilipofanywa feasibility study na 2017 Dikteta Magufuli alipolazimisha JNEHP Dam ijengwe maji ya mto Ruaha na Kilombero ambavyo ndivyo vinailisha Rufiji yalikuwa yamepungua kwa 40%. Sababu za upungufu ni mabadiliko ya tabia nchi na shughuli za kibinadamu along the river basin
Thanks for correction mkuuMkuu acha kupotosha facts.
Unaweza kuwa ni Maharage mwenyewe!
Kinyerezi I inatoa 150MW kama rated capacity na Kinyerezi II natoa 240 MW kama rated capacity.
Juu ya JNHPP, ambayo inategemewa kuzalisha 2115MW, kwa taarifa yako maji yamejaa kwenye Dam hata kabla ya wakati.
Tafuta useful information zikusaidie.
Ni kweli nimekoseaSio kweli. Kinyerezi 1 ina 180MW na kinyerezi 2 ina 240 MW.
Mengine ya kwako sijasoma kwa sababu hayana maana kwa sababu umeanza ma uongo sina sababu ya kusoma uharo wako mwingine.
There must be an end game.Inaweza kabisa Kuna theory imetengenezwa pindi umeme unapokatika watu Fulani wanapiga Hela huko tanesco
Watanzania haohao unaowakandya wakienda nje wanakua na mafanikio makubwasio Maharage tu, shirika lolote linaloendeshwa na watanzania kwa 100% haliwezi kuwa na ufanisi.
Bado najiuliza ni lini Tanesco iliwahi kuwa na ufanisi? Vipi hapo TRC ufanisi ni % ngapi? Tazara, TPA, ATCL nk huko nako kuna mkurugenzi Maharage?
Watanzania tuna matatizo tu lazima hili tukubali, tunaweza kulaumu mtu mmojammoja lakini kimsingi wote tunashare matatizo yaleyale.
Tumefilisi NBC tukauza kwa kaburu, CRDB vilevile, TTCL imetushinda, tuliachiwa ATC tukaifilisi, Tipper tukaua, viwanda vya nguo mufirisi, mkoloni alituachia reli ikiwa operative nk vyote tumeua.
Nut kwenye vichwa vyetu vyote watanzania zimeregea, na hata ukikaza utazikata tu..
Usitake kujifananisha na wagonjwa kuhalalisha ugonjwa wako.sio Maharage tu, shirika lolote linaloendeshwa na watanzania kwa 100% haliwezi kuwa na ufanisi.
Bado najiuliza ni lini Tanesco iliwahi kuwa na ufanisi? Vipi hapo TRC ufanisi ni % ngapi? Tazara, TPA, ATCL nk huko nako kuna mkurugenzi Maharage?
Watanzania tuna matatizo tu lazima hili tukubali, tunaweza kulaumu mtu mmojammoja lakini kimsingi wote tunashare matatizo yaleyale.
Tumefilisi NBC tukauza kwa kaburu, CRDB vilevile, TTCL imetushinda, tuliachiwa ATC tukaifilisi, Tipper tukaua, viwanda vya nguo mufirisi, mkoloni alituachia reli ikiwa operative nk vyote tumeua.
Nut kwenye vichwa vyetu vyote watanzania zimeregea, na hata ukikaza utazikata tu..
Watanzania haohao unaowakandya wakienda nje wanakua na mafanikio makubwa
Nadhani ungeangalia muundo wa taasisi zetu, tabia zetu towards our own people and uvivu uliokubuhu
Atc walikua na mtu anaitwa Dumisani Sangweni… msauzi na ilifia pale
Ungeacha unyani… upeo wako ungeongezeka
Usitake kujifananisha na wagonjwa kuhalalisha ugonjwa wako.
Direct question, mbona hali haikuwa hivi wakati wa Maguguli?
Inaelekea wewe ulikuwa nje ya nchi kwa muda mrefu.Kukatika umeme mbona kulikwepo tu kama kawaida? Tanesco kupata hasara mbona ilikuwa kama kawaida tu?.
Ndio maana nimeuliza lini Tanesco ilikuwa na ufanisi.?
Maharage! Jina lenyewe tu shida.View attachment 2756773
Maharage Ally Chande amekuwa MD wa TANESCO kwa takriban miaka miwili sasa.
Kama kuna vigezo vya kumpima utendaji, basi kwa sasa vimekuwa juu kwa MD wetu maana utendaji unapimwa na output, umeme kwa wananchi, jamii na biashara kwa ujumla.
Wakati wa miaka ya Magufuli, umeme haukuwa unakatwa ovyo pamoja na miaka ya upungufu wa maji.
Sasa basi ndio tunajiuliza kama bwana Maharage asiye na technical background, anaiweza kazi aliyopewa?
Bodi na management iliyokuwepo kabla ya kina Maharage & co. hawajaingia, mbona ilikuwa ina tenda kazi vizuri tu?
Serikali kwa sasa inavuna matokeo ya kubadili badili viongozi isivyoleta tija katika mashirika strategic kama TANESCO.
Unaondoa proffessionals na kuingiza mediocre characters.
At least one mediocre characters , January Makamba, is out.
Serikali ijitathmini na ifanye kazi na proffessionals husika, katika uongozi wa TANESCO.