Maharage ana uwezo kweli kuendesha shirika la kitaalam kama TANESCO?

Ndiyo hivyo, unaondoa proffessionals na kuweka mediocre characters, Makamba, Maharage et al!

Matokeo tunayaona kabla jua halijazama, mafuta hakuna , umeme hakuna!
 
Kwa utashi huu wa kufikiria Tim Cook CEO wa Apple inabidi awe fundi simu kwanza.


Amueni kama taifa, Tanesco liendeshwe kibiashara, then u need hao bankers etc. Kama Tanesco iendeshwe kama SUKITA then weka hao maInjinia wako.

Thinking ya Mama Abdul makes sense. Make Tanesco Profesional private company that it state owned.


Au kama vipi toeni monopoly ya Tanesco mruhusu kampuni binafsi ziuze umeme.


Mmemnanga Kipara weee,
 
... wakipewa "DP World" si mtapinga ninyi? Tena hii ndio itakuwa mbaya kuliko TPA kwa huo upinzani na kejeli.
 
kwa taarifa yako chande ndio analiendesha shirika kitaalamu haswaaa
 

Mkuu hao wafanyabiashara na bankers si ndo hao wamewekwa mwaka wa pili na hakuna unafuu wowote sana sana bora ata kabla yao? Basi kubali tu hoja kua hawana uwezo wa kuongoza shirika lenye changamoto kama tanesco
 
Mediocre.......!!🤣🤣🤣🤣
 
Maelekezo
Maelekezo ndiyo kila kitu utawala umebadilika
Unawekwa pale kama mbeba lawama tu
Lakini unapokea maelekezo kutoka juu
 
Nilivo ona tu Genge la Wafanyabiashara Limepewa Board ya Tanesco na Ujio wa MD ambae Ni Cartel nae niliona hapa Kilio hakipo mbali, Uzuri Muda huwa haudanganyi , Tanesco ni state Owned company unawekaje Genge la wapiga Deal kuendesha Board? Na Management
 
ULIVYO NA HEKIMA NDOGO YA KIROHO unasema ETI HATA ALETWE MALAIKA
UNAJUA UWEZO WA MALAIKA??????????
 
kwa taarifa yako chande ndio analiendesha shirika kitaalamu haswaaa
Ame deploy mifumo ambayo imesainiwa Kwa bei kubwa sana kuna ile Contract na Tech mahindra aisee sijui ununuzi wa Softwares, Sasa unaendesha Shirika kisasa ile hali hata Generation hapako vyema hujuma kibao mwisho wa siku unakuwa na Mifumo mizuri wakati Nishati huna, Watanzania wanataka umeme bra bra za Mifumo ya Kipigaji hawazitaki
 
Kama yalivyo mabucha ya nyama na samaki. Nishati nayo iwe huria.
Ndo solution pekee
 
Ali mradi tumemweka mtu wetu bwashee, nepotism nchi hii imefikia mahala pabaya sana.....
 
Wakati wa jpm umeme ulikuwa unakatwa ila kuna msemo ukipenda kipofu utamwita ana chongo

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…