Maharage ana uwezo kweli kuendesha shirika la kitaalam kama TANESCO?

Onyesha shirika la kitanzania linaloperform
 
Onyesha shirika la kitanzania linaloperform
Tukijisteriotype na mawazo ya kujihalalisha, na kusema kwa vile shirika A limeshindwa basi mimi shirika B nikishindwa si ajabu.
Hayo ni mawazo na mindset ya kujidhalilisha.
 
Maharage has no technical know-how, no expertise, to critical issues and challenges facing Tanesco, so he is just a mere appointed political figure, i believe Mr. Dotto Biteko quickly will remove him within few months ahead.
 
Mkuu hawa ndiyo waliokaondolewa kabla ya kuletwa Maharage Chande kuchukua nafasi ya Tito Mwinuka kama Mkurugenzi na Dkt Kyaruzi kuondolewa nafasi ya mwenyekiti wa Bodi kuletwa Ndugu Issa.

Sasa tafuta CV zao mwenyewe hawa waliopo upate picha kamili.
 
Maharage has no technical know-how, no expertise, to critical issues and challenges facing Tanesco, so he is just a mere appointed political figure, i believe Mr. Dotto Biteko quickly will remove him within few months ahead.
Mkurugenzi wa Tanesco anateuliwa na Rais lakin
 
Siku tukiacha Utaalamu ufanye kazi badala ya Siasa, mashirika mengi yatafanya wonders kwenye Utendaji.

Shida ni Wanasiasa kuingilia utendaji.

Hiyo Tanesco mbona wakati wa Hayati haikuwa na hili tatizo la kukata Umeme kila Uchwao?

Shida ni Siasa
 
Serikali inawaondoa proffessinals wa fani na kuwaingiza vilaza kuendesha shirika la TANESCO.
Na ni vilaza kiwango cha waziri wao January Makamba.
Chini ya Makamba muda mfupi tu, sasa hatuna nishati ya umeme wala nishati ya mafuta.
Pathetic.
 
Tukijisteriotype na mawazo ya kujihalalisha, na kusema kwa vile shirika A limeshindwa basi mimi shirika B nikishindwa si ajabu.
Hayo ni mawazo na mindset ya kujidhalilisha.
Ndicho ninaxhopinga

Kuna Fala mmoja anadai Hakuna shirika liliongozwa na mtanzania likaweza , Basi aonyeshe la mzungu aliyeongoza hapa Tanzania akafaulu

Matatizo Mengi ni ya mfumo

But maharage is transforming tanesco positively
 
Unamsema Maharage huyu huyu anayefukuzwa mikutanoni ili akafanye kazi?
 
Tatizo la umeme sio Tanesco bali watunga sera za nchi, wao ndo walipendekeza ujenzi wa mabwawa badala ya kutafuta umeme ambao hautatusumbua
 
Unamsema Maharage huyu huyu anayefukuzwa mikutanoni ili akafanye kazi?
Kwa akili ndogo that would suit you

Kwa akili kubwa ningesema management ya tanesco na wizara waliagizwa kutokuwepo ili watatue changamoto za umeme
 
Naomba kupingana na wewe.. Kuhusu Technical Background huyu MD Maharage Chande yupo vizuri sana.. Amekuwa anafanya na Private Sectors kadhaa kuanzia Benki, Mashirika ya Simu na hata Multi Choice kwa level ya juu sana kwa Africa.

Kama atashindwa basi atakuwa ameshindwa kwa upande wa Siasa hasa atakapokuwa anaingiliwa na wanasiasa.

Kuna zaidi ya hizo sababu ulizosema ila kuhusu Technical Background na utendaji wake ni superb...
 
Hayo unayoongea yanamsaidia nini mtanzania wa kawaida ambaye anataka umeme ili kazi zake ziende, viingerezq vingi bila matokeo yoyote ni bure, Magufuli tulimwelewa kwa sababu ya matokeo, umeme haukukatika sio bla bla
 
TATIZO ni kula kwa urefu wa kamba.

Tamko lilikuwa rasmi.

Kilichobakia ni utekelezaji tu.

Kuanzia fundi mpaka mtendaji mkuu watu wanawazia kupiga tu.

Umeme utawaka saa ngapi??

Hao ATCL wenyewe ilikua ni aibu tupu.

Shiraka lina wafanyakazi zaidi ya 200 lakini ndege ni moja tu.

Tukiacha ubinafsi na wizi wizi basi tutapiga hatua.
 
Hujaeleza his technical prowess!!
 
Kwa huyo hamna kitu. Hapo aliwekwa ‘mshkaji wetu’ basi.
 
Tanesco ni sawa na Jeshi la Ulinzi la Taifa. Ikipewa uzito kitaifa itaenda hata ukiweka tofali pale kuwa MD itaenda
 
HIvi zile habari za tilion 11 zilishiaga kupewa ngapi ...au Mama aliamua kumpotezea kijana .!
 
Bwana Maharage Ally Chande, rasmi sasa AMEONDOLEWA TANESC0 na Rais Samia Suluhu na kupelekwa TTCL, mahali pa mawasiliano(ina shabibiana na DSTV).
Asante mama, unapitia maoni mitandaoni(hasa JF) ingawaje watu kama Nape wanaidharau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…