Maharage Chande atabakia kuwa ndiye mkurugenzi bora zaidi kuwahi kutokea TANESCO

Mparee2 Umenena vyema
 
Yaani mkurugenzi aliyeshindwa hata kutamka kuwa Tz tuna mgao wa umeme, anawezaje kuwa bora?
Maharage huenda alikuwa anataka TANESCO ife kabisa.

Maharage ni muongo na mwizi tu.
 
Hili nalo ni la uongo mtupu.
Mahali nilipo na kibanda changu, nipo karibu na ofisi za Tanesco, mtaa wenye umeme tayari, nimetuma maombi ya umeme na kulipia zaidi ya mwaka na nusu sasa, na sijafungiwa umeme, ni dana dana tupu.

Maharage ni muongo na mwizi tu.
 
wee muongo bhana Tanesco walibadilika sana mwaka na nusu ya wapi, wewe ndiye utakuwa na shidalabda, weka risiti TANESCO wapo hapa watujibu kama kweli!

Uongo wa kubumba haukusaidii ndugu yangu
Maharage akuibie wewe kwa lipi ulilo nalo, au orodhesha hapa wizi gani kafanya!

vijana mnaujinga mwingi sana kutosapoti vijana wanaofanya vizuri kwa kasi ya ujana
 
Kitengo cha mawasiliano si mlikivunja, mkampa DG anatoa taarifa mwenyewe
 
Mm niliwahi kupiga sim kutokea kwa hitilafu ndani ya nusu saa wakafika kutatua nikashangaa sikuamini ni ile Tanesco ninayoijua maana nilijua nalala Giza labda kw siku mbili hv.

Then biashara ya kuambiwa luku zimeisha ukiomba kuunganishwa umeme ilikuwa haipo na ndani siku mbili unaunganishwa.
ili eneo lilitesa Sana watu na mafundi wa Tanesco walikuwa wanatengeza delay ili wapate rushwa wanakumbia Kuna watu 1000 wanasubiri luku upo kwenye foleni tuliopata baraka za kuona awamu zote sita za utawala wa nchi hii tunalijua hili shirika la Tanesco vizuri
 
Wewe ndiye Maharage mwenyewe au ndugu wa karibu wa Maharage. Kwa taarifa yako isibgekuwa ni ukaribu wa Maharage na JAKAYA basi yeye na Januari Makamba walipaswa kuwa Mahakamani au jela tayari kwa ufisadi walioufanya TANESCO
 
Hujawapigia kuhusu tatizo la kukatika kwa umeme?
 
Sasa nimeelewa fitina imetokea pale pale pale.. 🤔🤔 Kama mameneja alipewa allowance badala ya kubebwa na Dereva... Kwetu siebtunaopenda mtaani wajue Mi meneja tanesco siwezi kufurahi kamweeee...
Mama embu fanya utaratibu kijana arudi Tanesco bana!!
 
Mtoa mada ni ushuziii tu huyo beans ameliendesha shirika kwa hasara kubwa kafukuza jamaa zetu kule kule then ameintroduce call center ambayo imeprove failure ni kitu kimoja tu alichoweza kufaulu kuanzisha viunga
 
Hakika
 
Mtoa mada ni ushuziii tu huyo beans ameliendesha shirika kwa hasara kubwa kafukuza jamaa zetu kule kule then ameintroduce call center ambayo imeprove failure ni kitu kimoja tu alichoweza kufaulu kuanzisha viunga
Hatq magufuli alitumbua wasiofaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…