Maharage Chande: Si busara kushusha bei ya umeme

Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Posts
3,436
Reaction score
7,955
kutoka katika gazeti la mwananchi:

Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Maharage Chande amesema hadhani kama ni busara kushusha bei ya umeme baada ya mradi wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) kuanza uzalishaji.

Chande amebainisha hayo leo Mei 26, 2023 wakati akijibu swali na Mhariri Mtendaji wa gazeti la Nipashe, Beatrice Bandawe aliyetaka kujua kama bei ya umeme itashuka baada ya mradi huo kuanza uzalishaji.
Amesema huwezi kushusha bei ya umeme baada ya kuanza kuzalisha JNHPP wakati hata miundombinu inayojengwa kwa kutumia mapato yanayotokana na uuzwaji wa umeme haijakamilika.

"Mimi sidhani kama ni busara kushusha bei ya umeme ili fedha tutakayobaki nayo ibaki kuhudumia umeme. Hapa ni vizuri kutofautisha bei na gharama, ni vitu viwili tofauti," amesema Chande.

Mkurugenzi huyo ameongeza kwamba ukitaka kukua, usishushe bei ya umeme, bali ubaki vile vile ili yale mapato yatumike kujenga miundombinu na kuendelea kuzalisha umeme

NIONAVYO MIMI:
maharage ametuchukulia sisi watanzania watu wa kupandishiwa tu bei! ni mtu asiyejali hali ya wananchi! hajui kama hilo Bwawa litashusha gharama za uendeshaji kwenye mafuta huko na SONGAS then ndio itumike kufanya mambo mengine:

Watanzania wanataka unafuu wa maisha halafu huyu mpuuzi aliyenogewa hela za walala hoi anakula na kuvimbiwa maharage yake analeta ujinga huu! Sijui ndio akili ya makamba?

No wonder wanatamani kupunguza wafanyakaz wakati Tanesco yenyewe haina watu wa kutosha
 
Wewe na mwigulu ni ainanya watu wasiofikiria kuhusu innovations kwenye ugavi.

Bei ishuke kwa sababu wateja wengi watajiunga na umeme utauzika bila kikomo na inflation itadhibitiwa.....
 
Watu kama Chande huwa hawafurahii NAFUU ya maisha kwa binadamu wenngine! Hapo utakuta yeye anapewa pesa hadi ya mafuta ya Gari lake achilia mbali huduma ya Bure ya umeme nyumbani kwake ila bado anaona sisi wengine bei ya umeme ibaki hiihii 300++ kwa unit ili hali Kuna uwezekano wa kushusha bei
 
hana njaa! ukute kuja TANESCO kabembelezwa maana alikuwa DSTV huko! unamtoa mtu kwenye biashara ndogo vile unamleta kwenye mambo ya NATIONAL SECURITY!
 
Shisha gharana za umeme wafungiwe wengi pato liongezeke lkn sababu ni upigaji acha usishuke mpaka kili zetu zikae sawa
 
kutoka katika gazeti la mwananchi:

Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Maharage Chande amesema hadhani kama ni busara kushusha bei ya umeme baada ya mradi wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) kuanza uzalishaji.

Chande amebainisha hayo leo Mei 26, 2023 wakati akijibu swali na Mhariri Mtendaji wa gazeti la Nipashe, Beatrice Bandawe aliyetaka kujua kama bei ya umeme itashuka baada ya mradi huo kuanza uzalishaji.
Amesema huwezi kushusha bei ya umeme baada ya kuanza kuzalisha JNHPP wakati hata miundombinu inayojengwa kwa kutumia mapato yanayotokana na uuzwaji wa umeme haijakamilika.

"Mimi sidhani kama ni busara kushusha bei ya umeme ili fedha tutakayobaki nayo ibaki kuhudumia umeme. Hapa ni vizuri kutofautisha bei na gharama, ni vitu viwili tofauti," amesema Chande.

Mkurugenzi huyo ameongeza kwamba ukitaka kukua, usishushe bei ya umeme, bali ubaki vile vile ili yale mapato yatumike kujenga miundombinu na kuendelea kuzalisha umeme

NIONAVYO MIMI:
maharage ametuchukulia sisi watanzania watu wa kupandishiwa tu bei! ni mtu asiyejali hali ya wananchi! hajui kama hilo Bwawa litashusha gharama za uendeshaji kwenye mafuta huko na SONGAS then ndio itumike kufanya mambo mengine:

Watanzania wanataka unafuu wa maisha halafu huyu mpuuzi aliyenogewa hela za walala hoi anakula na kuvimbiwa maharage yake analeta ujinga huu! Sijui ndio akili ya makamba?

No wonder wanatamani kupunguza wafanyakaz wakati Tanesco yenyewe haina watu wa kutosha
Kwa hoja aliyoijenga Yuko sahihi Asilimia 200
 
Toa ujinga wako hapa,kwanza ulimsikiliza hoja yake au unaropoka tuu? Kwanza wapi aliposema bei ipande? Ujinga Huwa ni shida sana
 
Shisha gharana za umeme wafungiwe wengi pato liongezeke lkn sababu ni upigaji acha usishuke mpaka kili zetu zikae sawa
Ingekuwa kupayuka na kuropoka mambo inakuwa basi wangefungiwa wengi..

Mlivyo wajinga mnashindwa hata kujifunza Kijijini,pamoja na 27,000 waliingiza umeme ni WA kutafutiza.
 
Hahahaha we ndio mjinga kupita kiasi unakumbuka kelemani alivyosema 27000 kote foleni yake ya maombi ya awali ulihiona?
 
Sasa hujui kwamba 27,000 ni bei ya ruzuku? Italeta vipi faida kama 600,000 ya kawaida Bado ni hasara ? Shida mumejaza ujinga vichwani
 
Back
Top Bottom