Huko Tanesco kuna kitu haKipo sawa
Unakuta uwezo wa mambwawa kuhifadhi maji umepungua pengine kwa 60% ila hawaji na mikakati ya kusafisha mabwawa kipindi cha kiangazi ili mwaka unaofuata tatizo lisijirudie
wao mwua zikinyesha tu, wanaona problem solved.....
Na pengine ukiuliza bajeti ya kusafisha bwawa unaweza kupewa gharama sawa na kujenga bwawa jipya