Maharage wa TANESCO atimuliwa kwenye kikao cha Waziri Mkuu Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu Biteko. Apewa siku tatu

Nani anaemteua? Halafu kwani Maharage Chande ndio kaleta ukame? Maharage ndio mtoa pesa za kuanzisha vyanzo vipya? Upuuzi.

Ila Sasa Kwa Afrika Jamaa wanaodhalilisha hivi na kuongea ndio huonekana Viongozi Sasa [emoji16][emoji16]
Kabla ya maharage ukame ulikiwepo na miundombinu ya umeme ni hiyo hiyo. Mtu anateuliwa kwa recommendations za mtu mmoja, february. Halafu kila akiongea anamkingia kifua na kutoa vijembe eti "tulipomteua kuna watu hawakupenda"
Bwawa la JNHPP lipo, wamepunguza kasi ya ujenzi, ilikuwa mwaka huu june liwe tayari. Kwa nn limecheleweshwa? Wanaona sifa zitaenda kwa Magu? Au kulikuwa na njama za kumhujumu mama ili 2025 wamwambie "watu hawakukubali" so usigombee ili kuokoa chama?
Hawa kina Pape na February wanadhani wana hati miliki ya uwaziri. JPM alishawaona hawa. Rais alifanya makosa makubwa kuwarudisha. Mtu ni waziri anafikia kusema " msitetee legacy" 'chama kimerudi kwa wenyewe" halafu mnakaa kimya!
Angalia watu wakitoa maoni tofauti wanavyoswekwa ndani! Haya si ndo mlituaminisha mnayakataa awamu ya tano?
 
Nasubiri ile treni ya umeme ya SGR, yani hii nchi tunaweka siasakwenye kila kitu. Nakumbuka tuliambiwa tutalipwa zaidi ya dola bilioni 100 kwa udhallimu wa mkataba mbovu wa madini na bado watu wakaamini. Aisee tusiweke siasa kwenye vitu muhimu tuambiane tu ukweli na tusipulize vidonda tuvitibu.
 
Unaongea upuuzi tuu na blaa blaa zisizo na msingi.

Kwa akili Yako unadhani Umeme haupo Kwa sababu ya MD?
 
Haya majitu yanafanya usanii tu. Hakuna jipya. Yameshindwa kila kitu. Huyo Majaliwa na Biteko na bosi wao ndiyo tatizo na walitakiwa kutimuliwa wao kwanza.
 
Kwa hiyo mvua hainyeshi Tanzania?Na kama hakuna mvua Tanzania tufanyeje ili tupate umeme?
 
Wewe nawe una matatizo sana tena umetawaliwa na utegemezi kwa kiwango kikubwa,unalalamikia mvua je Mungu akichukia akaamua kutoleta mvua kwa miaka mitatu sisi wanadamu tulioumbwa kwa mfano wa Mungu tutakaa tu kusubiria muujiza wa Mwenyezi Mungu?
 
Nani anaemteua? Halafu kwani Maharage Chande ndio kaleta ukame? Maharage ndio mtoa pesa za kuanzisha vyanzo vipya? Upuuzi.

Ila Sasa Kwa Afrika Jamaa wanaodhalilisha hivi na kuongea ndio huonekana Viongozi Sasa 😁😁
Labda mwizi wamejua kwaiyo wananyooka nae taratibu arudishe alicho kwapua kwawatumishi wa tanesco mkuu
 
Usije ukakuta hata vitendea kazi vya kufanya umeme usikatike hawajampatia,viongozi huwa wanatabia ya kujionyesha wema machoni pawananchi,ukifuatia unakuja kugundua
kuwa chanzo cha tatizo ni wao.

Vitendea kazi hana tangu 2021 anafanya nini ofisini? Analipwa mshahara wa nini? Aachie nafasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…