Kabla ya maharage ukame ulikiwepo na miundombinu ya umeme ni hiyo hiyo. Mtu anateuliwa kwa recommendations za mtu mmoja, february. Halafu kila akiongea anamkingia kifua na kutoa vijembe eti "tulipomteua kuna watu hawakupenda"Nani anaemteua? Halafu kwani Maharage Chande ndio kaleta ukame? Maharage ndio mtoa pesa za kuanzisha vyanzo vipya? Upuuzi.
Ila Sasa Kwa Afrika Jamaa wanaodhalilisha hivi na kuongea ndio huonekana Viongozi Sasa [emoji16][emoji16]
Bwawa la JNHPP lipo, wamepunguza kasi ya ujenzi, ilikuwa mwaka huu june liwe tayari. Kwa nn limecheleweshwa? Wanaona sifa zitaenda kwa Magu? Au kulikuwa na njama za kumhujumu mama ili 2025 wamwambie "watu hawakukubali" so usigombee ili kuokoa chama?
Hawa kina Pape na February wanadhani wana hati miliki ya uwaziri. JPM alishawaona hawa. Rais alifanya makosa makubwa kuwarudisha. Mtu ni waziri anafikia kusema " msitetee legacy" 'chama kimerudi kwa wenyewe" halafu mnakaa kimya!
Angalia watu wakitoa maoni tofauti wanavyoswekwa ndani! Haya si ndo mlituaminisha mnayakataa awamu ya tano?