zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Mkuu nadhani mtoa mada Hana shida na mahari ila Ile "process" inakua kama slave trade!! Kuna familia naijua walikomaa wapewe million 8 wakati familia zote mbili ni maisha duni. Jamaa mpaka analilia wajomba wampunguzie eti ndio heshima??Mahali Ni heshima,
Heshima kwa mkeo,
Heshima kwa wakweo,
Heshima kwa wazazi wako,
Mahali Ni ishara ya uanaume.
Uwezo wa kua Kichwa Cha familia
Huwez kujilipia mahali,kataa ndoa usioe
Maswali muhimu sanaYakobo alioa wake wawili vipi nyie mnaruhusiwa kanisani? Yakobo huyo huyo alizaa na Vijakazi wake wawili vipi kanisani kwenu mnaruhusiwa?
Au ndio biblia nzuri ikitaja mahari ila ikitaja yakobo kula mabeki tatu unajikausha? Weird
Kwani kijana wa kiume haku lelewa na wazazi ? Na je waarabu na wazungu wali nunua mababu na mabibi zetu ili kulipia gharama za wao kulelewa na wazazi wao si ndivyo unavyo maanisha ndugu ?Mahali ni kama agano lenye lengo la kutimiza kitendo cha muunganiko wa jinsia mbili zilizoamua kuishi pamoja. Hata hio mahari haitoshi kulipia gharama za mzazi alizotumia kumlea binti.
Kweli ndugu, vijana wanao oana wanapaswa kupewa hizo fedha kwa ajili ya kuanzia maisha yao na sio moja kati yao kunulika kama mtumwa kwa kigezo cha mahari.Mkuu nadhani mtoa mada Hana shida na mahari ila Ile "process" inakua kama slave trade!! Kuna familia naijua walikomaa wapewe million 8 wakati familia zote mbili ni maisha duni. Jamaa mpaka analilia wajomba wampunguzie eti ndio heshima??
Kwanini isiwe tu discretion ya anayeoa? Kwamba Ni zawadi tu kama appreciation sio Tena majadiliano ya kushushana bei.
Mimi binafsi naona Ile "process" inadhalilisha sana Binti.
Mkuu, kwetu Waislam mahari ni sehemu ya Dini.Mkuu wewe ni great thinker tatizo 90% ya JF humu ni wajuaji sana hawawezi kufikiria wao ni matusi tu kisa kakaririshwa. Mfano mtu anasema eti Toka enzi za mababu ila ukimwambia aache Uislam na ukristo akatambike uone kama atakubali? Au ampeleke Binti yake kukeketwa atakubali?
Mimi binafsi sijawahi penda hii issue, unakuta Binti anajadiliwa kama bidhaa yaani wanaithaminisha Mali as if anauzwa!! Kama issue ni Hela kwani baada ya ndoa huwa wazazi hawaombi hela?
Hii mila ni mbovu sana
Mahari si utumwa,kwani mke ni mali ya naniKwani kijana wa kiume haku lelewa na wazazi ? Na je waarabu na wazungu wali nunua mababu na mabibi zetu ili kulipia gharama za wao kulelewa na wazazi wao si ndivyo unavyo maanisha ndugu ?
Amekutana na familia ya hovyo inayogeuza mahali chanzo Cha mapato.Mkuu nadhani mtoa mada Hana shida na mahari ila Ile "process" inakua kama slave trade!! Kuna familia naijua walikomaa wapewe million 8 wakati familia zote mbili ni maisha duni. Jamaa mpaka analilia wajomba wampunguzie eti ndio heshima??
Kwanini isiwe tu discretion ya anayeoa? Kwamba Ni zawadi tu kama appreciation sio Tena majadiliano ya kushushana bei.
Mimi binafsi naona Ile "process" inadhalilisha sana Binti.
ligi siwezi ndugu ila mahari ina heshima yake binafsi nimeolewa kwa mahari tena kubwa tuUnaamini mwanamke mzinifu anapaswa kupigwa mawe mpaka kufa ? Na wanawake hawapaswi kuongea chochote kile ndani ya nyumba zenu za ibada bali wakawaulize wanaume zao majumbani kwao ?
Nisinge penda sana tuanzishe mjadala wowote wa kidini lakini kwa hayo machache wenda yata fungua fahamu zako kidogo.
Sitegemee kuona mwana mama akiunga mkono utoaji wa mahari wa kifedha kitu ambacho ni mfanano na mtu kwenda kununua nyanya sokoni, sifikiri kama binadamu amekosa utu kiasi hiki mpaka kufananishwa na bidhaa za sokoni.
Karibu kwa hoja ndugu
Kwa hiyo ndugu hiyo shariah kwa mujibu wa imani yako imerasimisha moja kwa moja biashara ya utumwa kwa mfumo wa mahari ?Sijui umeitazamaje Mahari ila tambua kuwa kwa Waislam katika Uislam Mahari ni wajibu wa Kishariah, ni moja katika mambo ya wajibu kishariah.
Katika Uislam, bila Mahari haisihi ndoa.
Katika Uislam, Mahari sio biashara ya utumwa.Kwa hiyo ndugu hiyo shariah kwa mujibu wa imani yako imerasimisha moja kwa moja biashara ya utumwa kwa mfumo wa mahari ?