Mahari ni biashara ya utumwa. Kwanini dunia ipo kimya?

Mimi nataka wanawake mpiganie wanaume tulipiwe mahari ili tuwaoe. Halafu tuone baba na mama zenu watakavyojisikia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dini kwa wanafunzi mashuleni hutaki, mahari nayo kwa wanawake hutaki. Natamani nikujue
 
Mahari si utumwa, Mahari haimnunui Mtu bali mahari ni shukrani kwa Wazazi baada ya kumtunza binti akawa mwenye tabia njema hadi ukapenda kumuoa na shukrani kwa Binti kwa kuutunza Usichana wake hadi Ndoa,

Kwa Waislam Mahari ni ya Binti yeye ndie hupanga aolewe kwa kiasi gani iwe cha fedha, madini au kitu kama Masahafu, n.k,

Kwa Makabila kila Moja lina utaratibu wake lakini pia Mahari inamuheshimisha Binti huko aendako wasidhani ameokotwa tu bali ametolewa kwa Wazazi wake na ukakabidhiwa akiwa mzima mwenye Afya sasa wewe nenda kamfuje Binti wa watu kwa kisingizio Umemnunua ndio utajua kilichomtoa Kanga manyoya ni nini.
 
Dini kwa wanafunzi mashuleni hutaki, mahari nayo kwa wanawake hutaki. Natamani nikujue
Jitahidi kutafakari kila jambo kwa kina na sio kufakariwa kila jambo na watu hivyo ndivyo utakavyo nijua mimi.
 
Mwili wa mtu sio zawadi mpaka iletewe mahari, mwanamke kufurahia mahari ni kuto uthamini utu wake.
 
Peleka Mbuzi wa watu huko acha kulialia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Njaa ni hatari sana kwa afya ukiwa nayo, usiombee yakukute Ndugu yangu [emoji847]
Mleta mada aombe Mungu saba amuondolee umaskini

Kwa mawazo yangu nashauri wanaume wote malofa hawatakiwi kuoa waende kuwa mapadri kanisa katoliki mambo ya kuoa na kuliipa mahali wawachie wenye uwezo wasio na manung'uniko yeyote ya mahari

Mahari yanahusu wenye nacho mleta mada kama huna nenda kanisa katoliki lolote lililo karibu na wewe uwaombe kuwa unataka kuwa padri au Bruda

Ya kuoa achana nayo utadaiwa mahari ambayo kwa ulofa wako huna
 
Jitahidi kukuza uwezo wako wa kupambanua mambo, usichukulie kila jambo ni kasumba hata kama linajenga tafasiri isiyo sahihi ndani ya jamii.
 
Jitahidi kukuza uwezo wako wa kupambanua mambo, usichukulie kila jambo ni kasumba hata kama linajenga tafasiri isiyo sahihi ndani ya jamii.
Mahari ni kipimo kama muoaji ana uwezo wa kutunza huyo anaoa

Mahari ni interview ya kwenye kuoa huna kawe padri ili usije fanya mke akaushia kuwa changudoa akajiuza mabarabarani sababu kaolewa na lofa asiye na mbele wala nyuma

Ushauri wangu mabinti heri wake bola kuolewa kuliko kuolewa na lofa ambaye hata uwezo wa kulipa mahari katajiwa hana

Mwanaume wa ukweli suo tu kuwa rungu lililo ndani ya chupi katikati ya mapaja yake

Mwanaume ni uwezo ukiwemo uwezo wa kulipa mahari iwe kubwa au ndogo
 
Toa mahari mkuu, acha kulialia
Sahihi

Lofa kama hana hela ya mahari adhibiti nyege zake apambane hadi apate pesa za mahari ndio are

Lofa kidume hatakiwi kuoa ajenge kwanza uwezo wa kipesa
 
Kama wewe ni mwanamume upo kwenye kundi lijulikanalo kama EFFEMINATE. Kifupi wanaume tunasema MAN DOWN!!
 
Soma hapo uelimike:

 
Kama wewe ni mwanamume upo kwenye kundi lijulikanalo kama EFFEMINATE. Kifupi wanaume tunasema MAN DOWN!!
Jikite zaidi kwenye mada, karibu tena kwa hoja zako.
 
Lipa mzeiya acha mbambambaaa,kama tu mahari inakushinda utaweza kutunza familia kweli weye?
 
Lipa mzeiya acha mbambambaaa,kama tu mahari inakushinda utaweza kutunza familia kweli weye?
Andiko halizungumzii kushindwa kulipa kwa mahari, tuzingatie andiko.

Karibu kwa maoni yako ndugu.
 
Andiko halizungumzii kushindwa kulipa kwa mahari, tuzingatie andiko.

Karibu kwa maoni yako ndugu.
Ukiwa na akili za kuvukia lami tu huwezi ng'amua tulichoking'amua sisi wazee wa Cuba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…