Mahari sio lazima, ni mila potofu ya kupingwa

Umenichekesha mkuu, mapenzi hayaangalii utajiri au umasikini.
 
Kuna kauli maarufu inasema ukienda Roma ishi kama Waroma.

Huwezi kushindana na mila na desturi zako na ukazishinda.

Unachopaswa kusimamia msimamo wako kwenye familia yako kwamba hutaki hadithi za mahari lakini huna uwezo wa kuibadiri jamii kwa kitu ambacho ni cha kimila.

Kila kabila Luna wazee wa kimila hata uwe na degree ngapi wale ndio waamuzi wa kimila huna ujanja labda uwe kizazi cha Le Mutuz mtoto wa kumzaa anakwambia sack my dini, wale ndio hawajui wala hawajali lolote kuhusu mila.
 
Umenichekesha mkuu, mapenzi hayaangalii utajiri au umasikini.
Sio kweli uongo
Mwanamke anakuja kwako anahitaji kula,navazi nk atakula mapenzi na kuvas Mapenzi

Familia zenye uwezo huhakiki kabisa unahojiwa hadi ukome kwanza utaukizwa wewe shughuli zako za kukuingixia kipato ni zipi hawaozi kwa mtu asiyeekeweka kipato chake cha kueleweka sio cha ohh siku moja moja mimi huwa naokota embe dodo chini ya mwembe

Msichana Material sasa hivi akubali kuvua nguo na kutaka kuishi na wewe burebure tu tu sio rahisi sababu wanajua fika wazazi wake hata wawe na pesa vipi akishaolewa hawataleta nyumbani hata robo kilo ya sukari mjinjue wenyewe huko

Usifikiri ukioa mtoto wa mwenye pesa ukishaoa wakwe wenye pesa iwatahangaika na wewe na mkeo mtajijua wenyewe huko
 
Hii ni butter trade sasa, siyo ndoa.
 
Umenichekesha mkuu, mapenzi hayaangalii utajiri au umasikini.
Uongo mnadabganyana vijiweni na huko vijiwe vya watsapp na tiktok muoaji uer na pesa ya kutunza mkeo na watoto vinginevyo kitakachokukuta kwenye hiyo nfoa ni just a matter of time utajuta kuoa na utakia kama mbwa kuwa ohh mwanamke jeuri sijaeahi ona abachonifanyia nitaumwa pressure nk
 
Mahara yana wenyewe wewe nenda uwanja wa fisi kajitwalie mke wa bule
 
Usiache mbachao ......
Hata baba ako alitoa , toa tu
 
Hii ni butter trade sasa, siyo ndoa.
Waongee wanawake walioolewa kwa mahari akiwemo Maria Nyerere,Mama Samia Suluhu Hassan Raisi wa Tanzania, Spika wa bunge mama Tulia Ackson, Mke wa Raisi Mstaafu Mwinyi na Kikwete,,Wabunge walioolewa wake wa viongozi wakubwa kama mke wa Malecela waziri mkuu na mstaafu mama Anna Kilango na wengineo kama mke wa waziri Mkuu Majaliwa,mke wa Raisi Hussen Nwinyi raisi wa Zanzibar mke wa Makamu wa Raisi ,na waje wa mawaziri kibao ,wanawake majaji ,wanawske maproffessor kibao walioolewa kwa mahari nk ndio watoe tamko.kama mahari ni utumwa na biashara ya slave trade

Wanaume wa shut up.wasubiri kauli ya wanawake wasiwasemee

Wanawake wana Wana midomo sio mabubu na wanajielewa hawahitaji wanaume wawakilishe kwenye hili
 
Kijana ashauri mahali kukatwa Kodi.
 

Attachments

  • 5e765ad1f1028d4c3bcfb2d19dd7bff5.mp4
    69.2 MB
Huu ujumbe umetulia sana tafuta wa aina yako oa
 
Mkuu kule India wanaume ndio wanalipiwa mahari vip hapo wanaume pia tunafanywa bidhaa?
 
Kumbe wewe ni mwanamke? Sikujuwa hapo kabla.
 
Kwa nini unaona mahari ni jambo la wanawake tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…