Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #161
Kwani mahari nini?tambua kuna mahari na mali watu uchanganya mambo haya,wewe umekusudia nn?
Ndio, Mjinga per se!
HahahahahaKama unamuiga lankule sawa, toa mahari ya maua tu.
Ukitaka kuoa binti wa kiislam wa unguja, wa maisha ya uchumi wa kati chini. Mara nyingi utaambiwa utoe mahari ya kitanda, kabati na dressing table. Na hivo vitu utavotoa kumpa mke ni kwamba vinakuja nyumbani kwako tena kutumika na wewe mke na watoto wenu.
Kwamba lengo ni kuhakikisha hiyo familia tarajiwa inaishi maisha ya staha.
Kwa mimi hii kwangu haina shida kbs!
Kuna mila ambazo zinatoa n'gombe kama mahari na mke akishindwa maisha huko kwa mumewe basi inabidi warudishe ng'ombe za watu, hii ni biashara ya utumwa kbs!
Pia kuna wale wazee wanaopanga wao mahari ya binti yao bila kumshirikisha binti na hata hawajali anaenda ishije huko, kimsingi wamemuuza kwq bei waliotaka.
Binafsi mahari halali ni ile itakayolenga kusaidia maisha ya familia mpya mke na mume.
Mimi ni mtibeli nikikutana na mwanamke wa tibeli niko tayari kufunga nae ndoa ya heshima" sio hawa wanaouzwa mtu akifika bei hawana hiari!
Kampe mama yakoPole
Kutoa mahari Ni njia ya kuonyesha shukrani na heshima kwa wazazi wa binti anayeolewa.
Tuendelee kupeleka mahari wakuu.
Tatizo ndugu yangu Robert Heriel Mtibeli huwa hatoi maoni yake, au itikadi yake kuwa kwenye jambo flani yeye anasimamia hiki au anaamini hiki bali Mara nyingi yeye hutoa conclusion
Nimekusoma Mkuu!Ni kweli Mkuu.
Natoa conclusion Kwa jinsi mtazamo na Falsafa yangu. Na watu wenye mtazamo na Falsafa na wanaopenda Kutumia mantiki wanajua nazungumzia nini.
SawasawaIkiwa Mungu atanijalia kumuoa huyu nimpendae au Mwingine ambae Mungu atakaenipangia, basi plan zangu ni kuweka mahari M 6.
Unaweza kufikiri labda harusi yangu itakuwa bonge la harusi. Hapana, ni mimi kama Bwana harusi, Mke kama Bibi harusi na washiriki. baadae ya kiapo naingia zangu mtaani na maisha mengine yanaendelea.
Uwa sifagilii sana zile kelele.
Milioni 6 unaoa bajaji au??
Utajua mwenyewe