Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Wakuu, juzi nimekwenda kuchumbia huko Kanda ya Ziwa, nikaambiwa mahari nitoe milioni mbili na nusu na bado kuna makorokoro mengine huenda ikafika hata milioni 3.
Umri wangu kwa sasa ni miaka 46, nimeamua tu hii pesa nikanunue eneo huko Mpanda Katavi nilime mpunga, nadhani ndani ya miaka yangu mitatu nikijikita na kilimo nitakuwa na uwezo wa kutoa mahari ya milioni 7😁 badala ya kuja huku JamiiForums kulalamika.