Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,590
- 6,355
Sema huna hela tu,mtu anakuzalia watoto unaleta shombo huku,watu wananunulia magari wake zao wewe hata pikipiki utaweza kweli?Wakuu, juzi nimekwenda kuchumbia huko Kanda ya Ziwa, nikaambiwa mahari nitoe milioni mbili na nusu na bado kuna makorokoro mengine huenda ikafika hata milioni 3.
Umri wangu kwa sasa ni miaka 46, nimeamua tu hii pesa nikanunue eneo huko Mpanda Katavi nilime mpunga, nadhani ndani ya miaka yangu mitatu nikijikita na kilimo nitakuwa na uwezo wa kutoa mahari ya milioni 7[emoji16] badala ya kuja huku JamiiForums kulalamika.