Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 8,632
- 23,673
Mahari hiya ukigawanya kwa mwaka tu je ni hela nyingi? Dah ukiwa huna hela unakuwa mtu wa ajabu
1. Kupeleka nguo kwa dobi kufua wakati unafuliwa - incase unafuliwa
2. Kula kwa mama ntilie mwaka mzima wakati unapikiwa
3. Kununua mbususu na kuhonga hela wakati ipo tu nyumbani
4. Kukuzalia watoto wazuri ambao wanakupa jeuri. Unajiona baba wa kimataifa
5 kukupa heshima kwenye jamii wewe ni kichwa cha familia. Huwezi kiwa single father ukajiita kichwa cha familiar
6. Kuwa na rafiki ambae shida zake ships zako. Aibu yake aibu yako
7. Need I say more?