Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Nyie ndo mnaishi kwa kukariri, Ukiyaelewa maisha hautaishi kwa mihemuko.46 kisha bado unapeleka mbele suala la ndoa?! Muoe mtoto wa watu bhana...
Kama unahisi kua na umri mkubwa ndio unakua na pesa badili hiyo mentality yakoMiaka 46 hujaoa na wewe wamekuona ni gume gume liloshindikana ni haki wakunyime binti, pili miaka46 bado unaona mil2 ni kubwa miaka yoote ulikuwa wapi
nahitaji kuwekeza mkuu46 kisha bado unapeleka mbele suala la ndoa?! Muoe mtoto wa watu bhana...
usimtukane mamba kabla hujavuka mtoKama unahisi kua na umri mkubwa ndio unakua na pesa badili hiyo mentality yako
hapana nimeghairiπππKaoe bhana
Si alikiwa anatafuta hela[emoji23][emoji23]Miaka 46 hujaoa na wewe wamekuona ni gume gume liloshindikana ni haki wakunyime binti, pili miaka46 bado unaona mil2 ni kubwa miaka yoote ulikuwa wapi