Yeye amesema alitaka kuoa lakini mahari ndo inayomkimbiza na visingizio juu..! Sasa mkuu aoe lini kama ndo hivo?Nyie ndo mnaishi kwa kukariri, Ukiyaelewa maisha hautaishi kwa mihemuko.
Kisa ana miaka 46 ndio akimbilie kuoa????
Acha ubahili πMkuu nime jifunza kitu hapa, though Mimi naweza lipa hiyo.
π Ila suala la mahusiano na pesa, ni vitu viwili tofauti.
Kipi ni rahisi kuwa replaced, mchumba au pesaaπππAcha ubahili π
Umri wote huo Bado huna 2.5 mln tuu? Aisee una Hali mbaya uzeeniWakuu, juzi nimekwenda kuchumbia huko Kanda ya Ziwa, nikaambiwa mahari nitoe milioni mbili na nusu na bado kuna makorokoro mengine huenda ikafika hata milioni 3.
Umri wangu kwa sasa ni miaka 46, nimeamua tu hii pesa nikanunue eneo huko Mpanda Katavi nilime mpunga, nadhani ndani ya miaka yangu mitatu nikijikita na kilimo nitakuwa na uwezo wa kutoa mahari ya milioni 7π badala ya kuja huku JamiiForums kulalamika.
Mahari hiya ukigawanya kwa mwaka tu je ni hela nyingi? Dah ukiwa huna hela unakuwa mtu wa ajabu
1. Kupeleka nguo kwa dobi kufua wakati unafuliwa - incase unafuliwa
2. Kula kwa mama ntilie mwaka mzima wakati unapikiwa
3. Kununua mbususu na kuhonga hela wakati ipo tu nyumbani
4. Kukuzalia watoto wazuri ambao wanakupa jeuri. Unajiona baba wa kimataifa
5 kukupa heshima kwenye jamii wewe ni kichwa cha familia. Huwezi kiwa single father ukajiita kichwa cha familiar
6. Kuwa na rafiki ambae shida zake ships zako. Aibu yake aibu yako
7. Need I say more?
Bado Hujasemaa na Utasemaaπ π πWakuu, juzi nimekwenda kuchumbia huko Kanda ya Ziwa, nikaambiwa mahari nitoe milioni mbili na nusu na bado kuna makorokoro mengine huenda ikafika hata milioni 3.
Umri wangu kwa sasa ni miaka 46, nimeamua tu hii pesa nikanunue eneo huko Mpanda Katavi nilime mpunga, nadhani ndani ya miaka yangu mitatu nikijikita na kilimo nitakuwa na uwezo wa kutoa mahari ya milioni 7π badala ya kuja huku JamiiForums kulalamika.
Watu wanajua kuchamba balaaπ πMiaka 46 hujaoa na wewe wamekuona ni gume gume liloshindikana ni haki wakunyime binti, pili miaka46 bado unaona mil2 ni kubwa miaka yoote ulikuwa wapi
Zamani nikiwaa mtoto nilikua nafikir wakubwa wana helaa[emoji16][emoji16][emoji16]Kama unahisi kua na umri mkubwa ndio unakua na pesa badili hiyo mentality yako
Kuna mambo mengine yanatia uvivu hata kufikiriaWatu wanajua kuchamba balaaπ π
[emoji16][emoji16]
Mahari hiya ukigawanya kwa mwaka tu je ni hela nyingi? Dah ukiwa huna hela unakuwa mtu wa ajabu
1. Kupeleka nguo kwa dobi kufua wakati unafuliwa - incase unafuliwa
2. Kula kwa mama ntilie mwaka mzima wakati unapikiwa
3. Kununua mbususu na kuhonga hela wakati ipo tu nyumbani
4. Kukuzalia watoto wazuri ambao wanakupa jeuri. Unajiona baba wa kimataifa
5 kukupa heshima kwenye jamii wewe ni kichwa cha familia. Huwezi kiwa single father ukajiita kichwa cha familiar
6. Kuwa na rafiki ambae shida zake ships zako. Aibu yake aibu yako
7. Need I say more?
Mzee una chuki na wanawake, ulitendwa nini?1. Nunua Mashine ya kufulia ya laki tano. Unafua mwenyewe bila kumtegemea Mwanamke.
2. Kupika siku hizi sio kazi. Nunua majiko ya kisasa ujipikie mwenyewe.
3. Sio kila Siku unafanya tendo la ndoa.
Ukiwa MTU mzima utahitaji kufanya tendo Kwa wiki mara moja tuu. Hivyo Kwa mwezi mara nne. Hivyo haitazidi laki moja kama ukinunua.
Tofauti na ukioa na ukimlisha Mwanamke na kumhudumia huku ukiparangana naye.
Kuoa ni ghali kuliko kuwa bachelor.
4. Watoto wanapatikana hata pasipo ya kuoa. Sio lazima Uoe ndipo upate Watoto.
5. Heshima ya mwanaume haitokani na yeye kuoa.
Heshima ya mwanaume ni kufanya kazi na kuwa mzalishaji ndani ya jamii.
Wapo Watu wenye majina makubwa ambao hawakuoa, mfano Yesu, Daniel n.k
6. Kama ulikuwa hujui ndoa nyingi Mkeo ndio adui yako namba moja hasa ukiwa katika nyakati ngumu. Hii ni kwa Sababu ndo za siku hizi ni Utapeli.
Kitu kikubwa kitakachokufanya uiendee ndoa ni Upendo tuu. Kama huo haupo ni Bora uwe bachela.
Mzee una chuki na wanawake, ulitendwa nini?
Aisee..Wakuu, juzi nimekwenda kuchumbia huko Kanda ya Ziwa, nikaambiwa mahari nitoe milioni mbili na nusu na bado kuna makorokoro mengine huenda ikafika hata milioni 3.
Umri wangu kwa sasa ni miaka 46, nimeamua tu hii pesa nikanunue eneo huko Mpanda Katavi nilime mpunga, nadhani ndani ya miaka yangu mitatu nikijikita na kilimo nitakuwa na uwezo wa kutoa mahari ya milioni 7π badala ya kuja huku JamiiForums kulalamika.
π€π€π€π€ ushauri wa huku ulikua unajua fika utakua wa namna gani ππWakuu, juzi nimekwenda kuchumbia huko Kanda ya Ziwa, nikaambiwa mahari nitoe milioni mbili na nusu na bado kuna makorokoro mengine huenda ikafika hata milioni 3.
Umri wangu kwa sasa ni miaka 46, nimeamua tu hii pesa nikanunue eneo huko Mpanda Katavi nilime mpunga, nadhani ndani ya miaka yangu mitatu nikijikita na kilimo nitakuwa na uwezo wa kutoa mahari ya milioni 7π badala ya kuja huku JamiiForums kulalamika.
Tumuache mpaka aseme.π€π€π€π€Bado Hujasemaa na Utasemaaπ π π