Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,590
- 6,355
Sema huna hela tu,mtu anakuzalia watoto unaleta shombo huku,watu wananunulia magari wake zao wewe hata pikipiki utaweza kweli?Wakuu, juzi nimekwenda kuchumbia huko Kanda ya Ziwa, nikaambiwa mahari nitoe milioni mbili na nusu na bado kuna makorokoro mengine huenda ikafika hata milioni 3.
Umri wangu kwa sasa ni miaka 46, nimeamua tu hii pesa nikanunue eneo huko Mpanda Katavi nilime mpunga, nadhani ndani ya miaka yangu mitatu nikijikita na kilimo nitakuwa na uwezo wa kutoa mahari ya milioni 7[emoji16] badala ya kuja huku JamiiForums kulalamika.
Kama unatumia hii 🐽🐖🐷🐷, ni mara 1000, ukasherekee huko, Bila kusahau ndizi + BALIMI, Achana na hao CHUMA ULETE 🤕🤕Wakuu, juzi nimekwenda kuchumbia huko Kanda ya Ziwa, nikaambiwa mahari nitoe milioni mbili na nusu na bado kuna makorokoro mengine huenda ikafika hata milioni 3.
Umri wangu kwa sasa ni miaka 46, nimeamua tu hii pesa nikanunue eneo huko Mpanda Katavi nilime mpunga, nadhani ndani ya miaka yangu mitatu nikijikita na kilimo nitakuwa na uwezo wa kutoa mahari ya milioni 7😁 badala ya kuja huku JamiiForums kulalamika.
Wazo zuri sanaWakuu, juzi nimekwenda kuchumbia huko Kanda ya Ziwa, nikaambiwa mahari nitoe milioni mbili na nusu na bado kuna makorokoro mengine huenda ikafika hata milioni 3.
Umri wangu kwa sasa ni miaka 46, nimeamua tu hii pesa nikanunue eneo huko Mpanda Katavi nilime mpunga, nadhani ndani ya miaka yangu mitatu nikijikita na kilimo nitakuwa na uwezo wa kutoa mahari ya milioni 7😁 badala ya kuja huku JamiiForums kulalamika.
. MANENO YAKO YA DUMU, KWA AJILI YA VIZAZI VINAVYO KUJA. 🙏🙏🙏,1. Nunua Mashine ya kufulia ya laki tano. Unafua mwenyewe bila kumtegemea Mwanamke.
2. Kupika siku hizi sio kazi. Nunua majiko ya kisasa ujipikie mwenyewe.
3. Sio kila Siku unafanya tendo la ndoa.
Ukiwa MTU mzima utahitaji kufanya tendo Kwa wiki mara moja tuu. Hivyo Kwa mwezi mara nne. Hivyo haitazidi laki moja kama ukinunua.
Tofauti na ukioa na ukimlisha Mwanamke na kumhudumia huku ukiparangana naye.
Kuoa ni ghali kuliko kuwa bachelor.
4. Watoto wanapatikana hata pasipo ya kuoa. Sio lazima Uoe ndipo upate Watoto.
5. Heshima ya mwanaume haitokani na yeye kuoa.
Heshima ya mwanaume ni kufanya kazi na kuwa mzalishaji ndani ya jamii.
Wapo Watu wenye majina makubwa ambao hawakuoa, mfano Yesu, Daniel n.k
6. Kama ulikuwa hujui ndoa nyingi Mkeo ndio adui yako namba moja hasa ukiwa katika nyakati ngumu. Hii ni kwa Sababu ndo za siku hizi ni Utapeli.
Kitu kikubwa kitakachokufanya uiendee ndoa ni Upendo tuu. Kama huo haupo ni Bora uwe bachela.
mbona ni miaka michache tu ya ujanani? Tena hapo anaoa binti mbichi wa miaka ishirini. Age is nothing but a number.Miaka 46 hujaoa na wewe wamekuona ni gume gume liloshindikana ni haki wakunyime binti, pili miaka46 bado unaona mil2 ni kubwa miaka yoote ulikuwa wapi
Wakuu, juzi nimekwenda kuchumbia huko Kanda ya Ziwa, nikaambiwa mahari nitoe milioni mbili na nusu na bado kuna makorokoro mengine huenda ikafika hata milioni 3.
Umri wangu kwa sasa ni miaka 46, nimeamua tu hii pesa nikanunue eneo huko Mpanda Katavi nilime mpunga, nadhani ndani ya miaka yangu mitatu nikijikita na kilimo nitakuwa na uwezo wa kutoa mahari ya milioni 7😁 badala ya kuja huku JamiiForums kulalamika.
Ndugu zako wote wenye 46+ wanayo iyo hela?Miaka 46 hujaoa na wewe wamekuona ni gume gume liloshindikana ni haki wakunyime binti, pili miaka46 bado unaona mil2 ni kubwa miaka yoote ulikuwa wapi
upo sawa mdogo wangu ndio maana nimegomaHela zote hizo unaoa au unatoa zawadi tu? Labda kama binti mwenyewe ni kama cleopatra, pisi kali
muulizeNdugu zako wote wenye 46+ wanayo iyo hela?
ukiweza,wewe inatoshaSema huna hela tu,mtu anakuzalia watoto unaleta shombo huku,watu wananunulia magari wake zao wewe hata pikipiki utaweza kweli?
Mkuu Bora uoe tu kama suala ni hela na mwanamke amekukubali toa nusu pengine mke ni baraka ukaoa Kuna faida nyingi za mke kuliko hasara maana 46 is enough kwa wewe kuoa,Wakuu, juzi nimekwenda kuchumbia huko Kanda ya Ziwa, nikaambiwa mahari nitoe milioni mbili na nusu na bado kuna makorokoro mengine huenda ikafika hata milioni 3.
Umri wangu kwa sasa ni miaka 46, nimeamua tu hii pesa nikanunue eneo huko Mpanda Katavi nilime mpunga, nadhani ndani ya miaka yangu mitatu nikijikita na kilimo nitakuwa na uwezo wa kutoa mahari ya milioni 7[emoji16] badala ya kuja huku JamiiForums kulalamika.
Bado Niko 20s lakini naamini ndoa ni baraka1. Nunua Mashine ya kufulia ya laki tano. Unafua mwenyewe bila kumtegemea Mwanamke.
2. Kupika siku hizi sio kazi. Nunua majiko ya kisasa ujipikie mwenyewe.
3. Sio kila Siku unafanya tendo la ndoa.
Ukiwa MTU mzima utahitaji kufanya tendo Kwa wiki mara moja tuu. Hivyo Kwa mwezi mara nne. Hivyo haitazidi laki moja kama ukinunua.
Tofauti na ukioa na ukimlisha Mwanamke na kumhudumia huku ukiparangana naye.
Kuoa ni ghali kuliko kuwa bachelor.
4. Watoto wanapatikana hata pasipo ya kuoa. Sio lazima Uoe ndipo upate Watoto.
5. Heshima ya mwanaume haitokani na yeye kuoa.
Heshima ya mwanaume ni kufanya kazi na kuwa mzalishaji ndani ya jamii.
Wapo Watu wenye majina makubwa ambao hawakuoa, mfano Yesu, Daniel n.k
6. Kama ulikuwa hujui ndoa nyingi Mkeo ndio adui yako namba moja hasa ukiwa katika nyakati ngumu. Hii ni kwa Sababu ndo za siku hizi ni Utapeli.
Kitu kikubwa kitakachokufanya uiendee ndoa ni Upendo tuu. Kama huo haupo ni Bora uwe bachela.
Piki piki used hata laki tano ipo au mpaka aseme [emoji38][emoji38][emoji38]Sema huna hela tu,mtu anakuzalia watoto unaleta shombo huku,watu wananunulia magari wake zao wewe hata pikipiki utaweza kweli?
Huyo mtoto si mpaka amzae! Wengi walishanyofolewa kizaziSema huna hela tu,mtu anakuzalia watoto unaleta shombo huku,watu wananunulia magari wake zao wewe hata pikipiki utaweza kweli?