Mahesabu msiyopenda kusikia kuhusu Makamu mpya wa Rais

Ili afanikiwe na chama chake kisirudi ktk zama za kutumia pesa kushinda uchaguzi inabidi apate mtu asie wa makundi.

Mtu anaweka maslahi ya nchi mbele kuliko maslahi yake binafsi au ya kundi lake.

JPM hakuingia na kundi so hakuwa na muda wa kurudisha fadhila kwa mtu yoyote.
 
Subiri Mabeyo aongee na Samia kwanza.
 
Ondoa SHAKA juu ya hilo Mkuu..
 
Elias John Kuandikwa for VP ndiyo dokezo Hilo ...!
Baada ya kuapisha VP, Rais atavunja baraza la mawaziri asubuhi na mida ya mchana atapeleka jina la PM (Majaliwa) bungeni na kesho yake bunge litamthibitisha.

Hapa Rais atakuwa ameondoa minong'ono ya kwamba amevunja katiba ya kuendelea na baraza lile lile la Magufuli

Mawaziri wa sasa walio wengi watarudi na baadhi yao watabadilishwa wizara.

Mwana mpotevu a.k.a mtabiri atapelekwa ofisi ya VP kama kifuta machozi akashughulike na mazingira ambako sauti yake itakuwa ikisikika kwa nadra!
 
Rais akiondolewa na Bunge, na VP naye anaondoka kwa sababu unaitishwa uchaguzi mpya
 
Mmh
 
Ndiyo hivyo ni issue ya "timing" tu.

I think not everything is about timing!

Atakapolivunja bunge na “ngoma ikaanza upya” , nani anakua ni Rais kwa muda huo wakati ‘ngoma’ ikiandaliwa ianze upya?

VP anayekuwepo Ana mamlaka gani juu ya Rais katika kipindi cha kuandaa “ngoma” kwa mujibu wa katiba ya JMT?

Jeshi la Ulinzi na Usalama lina nafasi gani katika hii equation?

CDF, miguu yake itakuaje? Mmoja ndani mwingine nje? Yote miwili ndani? Yote miwili nje?

Hotuba yake ya Leo ya CDF, wewe mtoa mada umepata ‘ujumbe’ gani?
 

Katikati ya mistari yako kuna ujumbe.

Kazi nzuri Chief!
 
Ndipo umuhimu wa katiba mpya unaolipa bunge meno ya kutosha unapoonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…