Hili linahitaji uzoefu kiongozi....sio kila mtu anamudu.Sifa kuu ya kwanza kwa mwana diplomasia ni kuwa diplomatic!.
One doesn't have to be rude without just cause!. Being very confident is always good in diplomatic relations.
P
Hakuna kitu kibaya alichojibu huyo waziri sikiliza tena kama hujui English sema tukusaidie. Ukute unajadili hapa kwa ushabiki tu kama mlivyo hovyo sana wengi wenu pasi na kujua kilichojiri.Una conclusion mbovu sana, utadhani alikuwa anaongea na mume wake...
Unajua maana ya diplomacy? Angekuwa anawakilisha Russia si angeongea upumbavu wa kijinga kabisa...
This is bad, and she should take responsibility.
Vituko vyake nini? Katika majibu yote ya huyo mama kakosea nini?Hiyo interview ilikuwa live kwa kila mwenye masikio yake duniani akisikiliza.
Hivi ni vituko.
Huo muda waziri anautoa wapi? Aendelee kurudia rudia hata kama watakua hewani for 10 hours?Hapana PR lazima itumike unapojibu maswali under pressure. Angeweza kurudia tu majibu yale Yale yaliyo "nyutro" mpaka mjadala uishe. Kupanic panic hivyo hakufai kwenye diplomasia
Tafuta hiyo clip ambayo ni ndefu achana na hiyo cropped sikiliza kisha rudi hapa. Wabongo si wadadisi na wafwatiliaji ndo maana wengi mnajadili tu hicho kipande cha sekunde 44. Kuna clip ya zaidi ya dakika saba mwambie mleta mada aiweke ili kuutendea haki uzi wake kisha rudi ujadili.Jamaa alikua anatulisha tangopori. Nimesikiliza sijaona sehemu katika hiko kipande kilichowekwa kinacho reflect hiyo conclusion yake.
Basii hatakiiiiHii ilikuwa interview ikisikilizwa duniani kuhusu ujio wa makamu wa rais wa Marekani:
View attachment 2571442
Ama kwa hakika shughuli ipo.
Labda itabidi kuomba mwongozo kufahamu ni sehemu ipi kama ipo tunayofanya vizuri.
Ya CAG nani hajayasikia?
Can we go further from this point in English Darling,Hakuna kitu kibaya alichojibu huyo waziri sikiliza tena kama hujui English sema tukusaidie. Ukute unajadili hapa kwa ushabiki tu kama mlivyo hovyo sana wengi wenu pasi na kujua kilichojiri.
Waziri kamjibu kwa hekima sana huyo mwandishi shida ni kwamba mwandishi alitaka ajibiwe anayopenda kuyasikia.
Sema wewe shida ya waziri iko wapi katika hiyo clip? Unataka waziri ajibizane kwa ule utoto? Angemtukana au kumdharau si mngekuja na ujinga mwingine?
Sawa. Ila ulipaswa kuja na taarifa kamili katika maelezo yako. Bando gharama mkuu kwa akina sisi wa mikopo chechefu.Tafuta hiyo clip ambayo ni ndefu achana na hiyo cropped sikiliza kisha rudi hapa. Wabongo si wadadisi na wafwatiliaji ndo maana wengi mnajadili tu hicho kipande cha sekunde 44. Kuna clip ya zaidi ya dakika saba mwambie mleta mada aiweke ili kuutendea haki uzi wake kisha rudi ujadili.
Umesikiliza mahojiano yote? Usiwe kama wehu wengine mnadakia analysis kwa kusoma heading tu...Can we go further from this point in English Darling,
This is just to let you know, your irresponsible Minister just treat the interviewer with disrespect, and this should be condemned by anyone who wishes better for Tanzania internationally.
Cut the interviewer on air without respect and just leave, it was not at all personal, a national level issue kandombo.
And as a matter of fact, never in the history of our country at any point in time we have ever had a minister with such kind of attitude representing us as a chief diplomat.
In short your mom fumbled.
Kazingua kinoma, nawaza kwa mtu calibre yake aliyepata kushika nafasi kubwa SADC. Au ndiyo ukiwa mtawala Tanzania sharti akili uzi download na kuzihifadhi kisha ukiwa nje mfumo ndiyo ufanye kuzi upload tena?Can we go further from this point in English Darling,
This is just to let you know, your irresponsible Minister just treat the interviewer with disrespect, and this should be condemned by anyone who wishes better for Tanzania internationally.
Cut the interviewer on air without respect and just leave, it was not at all personal, a national level issue kandombo.
And as a matter of fact, never in the history of our country at any point in time we have ever had a minister with such kind of attitude representing us as a chief diplomat.
In short your mom fumbled.
Eti mikopo chechefu ππππSawa. Ila ulipaswa kuja na taarifa kamili katika maelezo yako. Bando gharama mkuu kwa akina sisi wa mikopo chechefu.
Dah, kumbe!Eti mikopo chechefu ππππ
Mwambieni mleta thread awawekee clip yote au awadadavulie kuliko hiko kipande cha waziri kusema asante kwa mahojiano kisha akakata simu..
Kwa ufupi huyo mwandishi alimhoji kwa zaidi ya dakika saba na akawa anafanya repetition za kitoto kiasi cha waziri kuchoka au pengine alikua busy sana lakini jamaa kawaletea hizo sekunde 44 halafu anaconclude!
By the way she is not a diplomat by profession.Can we go further from this point in English Darling,
This is just to let you know, your irresponsible Minister just treat the interviewer with disrespect, and this should be condemned by anyone who wishes better for Tanzania internationally.
Cut the interviewer on air without respect and just leave, it was not at all personal, a national level issue kandombo.
And as a matter of fact, never in the history of our country at any point in time we have ever had a minister with such kind of attitude representing us as a chief diplomat.
In short your mom fumbled.
Kulikuwa na haja ya ku cut short interview na international media unnecessarily?Umesikiliza mahojiano yote? Usiwe kama wehu wengine mnadakia analysis kwa kusoma heading tu...
Amemdharau wapi? Nimekuuliza waziri kakosea wapi unashindwa jibu unaleta utoto tu hapa.
Why calling darling? Unanijua?
No, given the chance at least behave.By the way she is not a diplomat by profession.
So, she still has a room to improve.
Hata wakijiita wazito ila CAG amewapopoa.Waziri ni mtu mzito sana huwezi
Huyo Razia ni mhindi aliezaliwa Uganda kisha wakahamia huko ughaibuni.Eti mikopo chechefu ππππ
Mwambieni mleta thread awawekee clip yote au awadadavulie kuliko hiko kipande cha waziri kusema asante kwa mahojiano kisha akakata simu..
Kwa ufupi huyo mwandishi alimhoji kwa zaidi ya dakika saba na akawa anafanya repetition za kitoto kiasi cha waziri kuchoka au pengine alikua busy sana lakini jamaa kawaletea hizo sekunde 44 halafu anaconclude!
Mtu aliyekua Katibu Mkuu wa SADC kwa zaidi ya 8 years na kuwa Senior Civil Servant unasema bado kujifunza? Pili umesikiliza clip yote au nawewe umedandia mtumbwi wa vibwengo?By the way she is not a diplomat by profession.
So, she still has a room to improve.