Mahojiano ya BBC na Waziri Tax yalipokwenda mrama

Hongera sana Mh Mama Samia&Co
Mmeuthibitishia umma wa Watanzania kuwa mmefuzu masomo kule Cuba nk
 
Je kam anaitwa darling na mwanaume mwenzake😀
Au unataka kutetea haki anazozungumzia mwandishi mwenzako ndugu mwanasheria?
 
Kam mwafuatilia mambo haya ya diplomasia JK akiwa raisi na ziarani US alikumbana na mwandishi matata wa CNN Christiane Amanpour ambae alimuuliza mambo yafananayo na hilihili la ushoga na kadhalika.

JK kama kawaida yake na akionyesha kuiva kidiplomasia na ujanja mwingi alimjibu yule mama kiaina na akasema "we as a country for now we are not ready yet for things" na akawa asisitiza hilihilo kila mwandishi alipokuwa aki-press kwa masuali yanofanana na hilo.

Mwishoe akapotezea na Amanpor akaja na suali jingine na interview ikawa poa.

Juzijuzi Mzee Kaguta nae akaulizwa masuali hayahaya na Christiane Amanpor lakini yeye ingawa si mwanadiplomasia lakini ana uwezo wa kujenga hoja au kubishana kwa staha na akamwambia mwishoni kwamba "a man going with another man?, I find it disgusting" na Amanpour alishangaa kwa kauli ile lakini ndo ikawa hivyo na interviwe ikaisha.

Hivyo hawa jamaa wana namna ya kuzungumza nao na uwe tayari khasa kwa kila aina ya suali na uweze kufahamu wapi suali laekea na utajibu vipi.
 
Binafsi kajibu maswali vizuri sana ila nimejifunza kuwa hana uvumilivu. Pili hata hapa sijaelewa kuwa majibu ya Tanzania kuhusu ushoga ni yapi? naona wanazunguka au kuleta siasa na mwisho wanakimbia kuonyesha mpango wetu wa kukemea kwa mataifa. Museveni hajakwepesha kajibu straight. .

Swali: Unazungumziaje swala la haki za mashoga na vifungo vya mashoga vinavyoendelea

Jibu: Tanzania inaongozwa na sheria na inafata katiba kwa kuwa katiba yetu ni ya haki inampa haki kila mwananchi😀😀😀

Kama ningeulizw mimi: Ushoga sio tamaduni zetu kama ni tamaduni za marekani Ingekuwa vyema hawa mashoga wangepokelewa wakaishi marekali huko. .
 
She cut her off because the reporter was trying to put her into a corner.
She is just a journalist and you are the minister so, you need to maneuver to come out by using your diplomatic language.

This is when communication skills comes around.
 
Zile walkouts ni katika vikao vya UN hivyo Korea Kaskazini au Russia balozi akitoka ile ni protest.

Hapa twazungumzia interview na mwandishi wa habari kupitia simu.
Inawezekana hata hayo mahojiano hayakupangwa walimpigia tuu simu. Waziri kwa uungwana, akapokea na kuwapa hizo dakika sita ila alipoona anaendelea kuulizwa maswali ya siyo na kichwa akaamua kushukuru na kukata simu.
 
Lusungo, Waziri ni mtu wa kawaida sana kama wewe na yule, usimvishe Umungu. hujawahi ona mahojiano ya maraisi tight wewe
 
She is just a journalist and you are the minister so, you need to maneuver to come out by using your diplomatic language.

This is when communication skills comes around.
She already gave her about six minutes of her time and the reporter continued to hammer her with questions about LGBTQ community . We don't know whether, the interview was planned before hand or not. We can't just jump into a conclusion why she cut her off abruptly.
 
Inawezekana hata hayo mahojiano hayakupangwa walimpigia tuu simu. Yeye waziri kwa uungwana akapokea na kuwapa hizo dakika sita ila alipoona anaendelea kuulizwa maswali ya kichokozi akaamua kushukuru na kukata simu.
Mkuu, a phone call from abroad straight to the minister? C'mon.

Lazima kulikuwa na enquiries na waziri alikuwa akitegemea hiyo simu.

Hiyo nayo ni sehemu ya "protocols" ambazo zimefuatwa.

Tusitetee tu haya mambo bila kuangalia kwa undani?

Pale Kurasini wana kozi fupi iitwayo Protocal and Public Relations.

Hii kuna topic muhimu na inohusu mahusiano na vyombo vya habari inoitwa Managing Relations with Media.

Kwahiyo wasaidizi wa waziri wana kzaio ya kumuandaa waziri na masuala kama haya kwani wao wamejifunza pale.

Sasa akienda tena huko UK na akombwa aende Bush House na akakutana na huyo mwandishi si itabidi ajiandae kujibu masuali yaleyale?

Its about building relations with media khasa pale inapoongelewa kwamba media relations (khasa foreign media) huja na masuali mengi yenye kutatiza.
 
Kulikuwa na haja ya ku cut short interview na international media unnecessarily?

Ni kitu gani hakina majibu...
International media ndiyo nini we kidali!!?..acha kupapatikia wazungu,Kama anauliza maswali ya kijuha umjibu tu na uendelee kufanya nae mahojiano!?
 
She was right to end the interview if questions were about LGBTQ, we've alot of problems in Africa but our assholes has never been one of them
 
Je kam anaitwa darling na mwanaume mwenzake[emoji3]
Au unataka kutetea haki anazozungumzia mwandishi mwenzako ndugu mwanasheria?
Huyo aliyemwita mwenzake darling kumbe ni mwanaume? Kazi ipo
 
Hapana PR lazima itumike unapojibu maswali under pressure. Angeweza kurudia tu majibu yale Yale yaliyo "nyutro" mpaka mjadala uishe. Kupanic panic hivyo hakufai kwenye diplomasia
Upo sahihi, nafikiri kidiplomasia bado unaweza kuendelea kusisitiza kile ulichokwisha jibu hata kama huyo mtangazaji atataka kukubana, wakati mwingine unaweza kusema, no comment....
 
Hapana PR lazima itumike unapojibu maswali under pressure. Angeweza kurudia tu majibu yale Yale yaliyo "nyutro" mpaka mjadala uishe. Kupanic panic hivyo hakufai kwenye diplomasia
Mnamuonea mama tax, yupo very diplomatic, na professional, Je angekuwa professor WA jalalani si tungekuwa tumejifungia ndani ya jalala!!
 
Hawa MSM huwa na narrative zao walizozianda, hakuna cha kutengeneza mahusiano wala nini. Hata anapotengeneza urafiki na wewe huwa ni kwaajili ya kutengeneza rapport ili ujiachie halafu wakulime vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…