brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,287
Hamisa ni mwanamke mzuri asie na akili, lakini sasa naamini mama ana sehemu kubwa katika kuchangia tabia ya mtoto regardless ya umri, hamisa ni copy ya mama yake sishangaiNadhani drama ndio zimempandisha dogo tukubaliane na nahisi ndio zitamshusha but kuna kundi la haters liko tayari hata kitu positive kiwe negative kama huyu Hamisa anadhani watu wanamsupport sababu wana muhurumia kumbe wanamtumia kumuumiza domo, sidhani kama itamsaidia baadae kwenye mahusiano yeyote atageuzwa kuwa kiburudisho
Bora mseme nyie wanaume hio akili ya hamisa maana tukisema sie tunaambiwa ni uwivu