Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Nadhani drama ndio zimempandisha dogo tukubaliane na nahisi ndio zitamshusha but kuna kundi la haters liko tayari hata kitu positive kiwe negative kama huyu Hamisa anadhani watu wanamsupport sababu wana muhurumia kumbe wanamtumia kumuumiza domo, sidhani kama itamsaidia baadae kwenye mahusiano yeyote atageuzwa kuwa kiburudisho
Hamisa ni mwanamke mzuri asie na akili, lakini sasa naamini mama ana sehemu kubwa katika kuchangia tabia ya mtoto regardless ya umri, hamisa ni copy ya mama yake sishangai
Bora mseme nyie wanaume hio akili ya hamisa maana tukisema sie tunaambiwa ni uwivu
 
Nadhan Hiki kipindi ni kipindi cha kujitangaza biashara zake..kiko kimkakati zaid...
 
Acha tu Mdogo wangu! Watu hawajui uchungu wa mtoto wanalopoka tu hapa,hivi kwani wanadhani wanaume wenye ndoa zao wanaozaa watoto nje ya ndoa na kuwatunza ni wajinga? Wanaogopa fedheha kama hizi
Daah!I wish wangeelewa unachosema yy kwa kua ni maarufu asingekataa from the very first stage rather he would apologize ingekua nzuri zaidi
 
Hamisa ni mwanamke mzuri asie na akili, lakini sasa naamini mama ana sehemu kubwa katika kuchangia tabia ya mtoto regardless ya umri, hamisa ni copy ya mama yake sishangai
Bora mseme nyie wanaume hio akili ya hamisa maana tukisema sie tunaambiwa ni uwivu
Atajuta sana na kama kweli mtoto ni wa Mondi ameathiri uhusiano wa baba na mtoto! Asikudanganye mtu watoto wengi wanaotelekezwa kwa huduma na baba zao na mama zao wanachangia kwa fujo wanazowafanyia baba zao. Mwanamke mzuri akiwa hana akili zinazoumia ni sehemu za Siri.
 
Hakukua na sababu ya Mond kumkataa mtoto anayempa huduma kwa maneno ya kinywa chake redioni. Kitendo kile ni bora hata hiyo huduma asingetoa kwa maana hata mtoto akikua atayakuta haya tunayoyafanya Leo kwenye social media na huo uhusiano wa baba na mtoto unaousema hapa hautokua mwema si kwa sababu ya Hamisa ila ni kwa sababu ya Diamond mwenyewe, kwa maana hakuna sehemu Hamisa aliyomtukana Diamond ila Mond amenukuliwa mara kadhaa akimtukana Hamisa na mwanae.
N.B mtoto atakua tu hata bila huduma ya baba,wanawake wa Leo sio wa mwaka 47 umshushie kichapo alafu avumilie tu kisa anawaza watoto atawapeleka wapi
 
Hamisa ni mwanamke mzuri asie na akili, lakini sasa naamini mama ana sehemu kubwa katika kuchangia tabia ya mtoto regardless ya umri, hamisa ni copy ya mama yake sishangai
Bora mseme nyie wanaume hio akili ya hamisa maana tukisema sie tunaambiwa ni uwivu
Kwakweli mimi hata uzuri wake siuoni namwona wakawaida sana,au macho yangu ndo yanashida?
 
Atajuta sana na kama kweli mtoto ni wa Mondi ameathiri uhusiano wa baba na mtoto! Asikudanganye mtu watoto wengi wanaotelekezwa kwa huduma na baba zao na mama zao wanachangia kwa fujo wanazowafanyia baba zao. Mwanamke mzuri akiwa hana akili zinazoumia ni sehemu za Siri.
True, I agree with you, so sad....
 
Back
Top Bottom