balimar
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 7,743
- 13,657
Yaan kuna swali ameulizwa namna ambavyo gesi inaweza kusaidia umeme wa maji unaokabiliwa na changamoto lukukiKuna issue ya kufungulia mabwawa ameleisi mwandishi mmoja, anasema hakuwepo na ni ngumu kufungulia mabwawa kwa sababu za kiusalama,ya kwamba haiwezekani, issue hapo ni kwamba yalifanyika ya kufungulia maji taratibu kwa lengo la kulowa levo za mabwawa hasa mtela,hawa wanataka kumprove wrong hayati Magufuli lakini wanaishia maneno mengi perform poor
Yaan CEO maharage alivyojibu nilitulia kwanza nikasema is this the man au tutarajie mwingine?? lakini baadae nikaanza kuona kama anaanza kuenea kwenye kiti lakini mmh Mr. CEO