Mahojiano ya Mkurugenzi Mkuu TANESCO ni usanii mtupu

Yaan kuna swali ameulizwa namna ambavyo gesi inaweza kusaidia umeme wa maji unaokabiliwa na changamoto lukuki
Yaan CEO maharage alivyojibu nilitulia kwanza nikasema is this the man au tutarajie mwingine?? lakini baadae nikaanza kuona kama anaanza kuenea kwenye kiti lakini mmh Mr. CEO
 
Nimecheleewa kujiunga ila nimejiunga saa nne HV

Naona jamaa kajipanga na kameza tanesco jinsi inavyo fanya kazi
Mm goroko nimewai ajiriwa tanesco naijuwa ndani nnje Hilo shirika muda mwingii ni upigaji ndio wanawaza tu jamaa anasema itachukwa miaka mkp 3 changamoto hzi za kukatika kwa umeme

Sijui Kama taifa tunaelekea wapi kwa taarifa hzi umasikini utakadhiri vilivyo
 
Hao ni vijambio vya mama mashungi hakuna jipya
 
Huyu muuza vifurushi vya Bongo movie DSTv na masuala ya Umeme wapi na wapi!
Nchi ngumu sana hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125]
Eti kasoma Bsc electronic and telecommunication

Sijui Nani aliona huyu jamaa anaweza kutusadia ktk shirika kubwa letu hili

Unafananisha performance za DStv na tanesco dah [emoji1787]
 
Kaulizwa mipango yake ya muda mrefu na mfupi,anasema anawaza wa kurithi kazi zake za nonperformance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…