Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Wa hiyo Tanzania hakuna ukame unaoathili mabwawa ya umeme?Honestly hiko ndicho kinachofanyika. Mazingira yanatengenezwa ili wananchi tukapigwe na hawa madalali akina makamba na wenzao.
Nchi inaumizwa sana na hawa walafi.
maharage yuko poa lazima ukiingia kwenye mifumo hii ya kiselikali lazima uwe janjajanja ki system other wise watakuzabua makofi asubuhi mapema tuHawa kina Maharage Chande kazi imewashinda kabsaa, wameandaa slide kuhadaa umma hatua za JNHP, wakati si kweli.
Kigoma wamezima majenerata, umeme mdogo, unakatikakatika na kusuasua, katoa majibu ya kibabaishaji akimuingiza Ndalichako kutafuta huruma, nonsense kabisa.
Mkurugenzi hilo la kigoma ni jipya kwakwe, kweli? Pia gesi imeshindwa kusaidia upungufu wa umeme, hapo Tanesco wamebinafsisha customer care services, hivi kweli walishindwa kupata watanzania competent kureplace wazembe waliokuwepo customer care?,wakawaboreshea maslahi na mikataba mizuri?, wakaamua kubinafshisha kitengo?,wizi huo,
Hawa acha wamuingize chaka rais Samia, au pengine n na yeye ni mnufaika,
Magufuli aliwezaje?,hawa mbona visingizio vingi sana na kujifanya eti wao hawataongopa,ni wakweli, nonsense!,porojo na lugha laini,wananchi wanateseka,
Hii nchi mpaka mapinduzi ya uongozi yatokee tena ni lazima kabisa , vinginevyo tunasindikiza kundi la wahuni kwa woga wetu.
Wewe Malaya wa Mpina unasemaje?Wewe malaya wa Makamba upogo tu?
Miradi itegemeayo mvua haifai
In 1974, the Norwegian Parliament granted license for Norway's largest hydropower project ever. More than 1500 people worked on the development at peak, and the construction was officially concluded in 1988. Today, the Ulla-Førre power system plays a key role in Norwegian energy supply. The watershed covers 2000 sq km. Total output of the power plants is more than 2 gigawatts, or about 7 per cent of the total installed capacity of all Norwegian hydropower plants
Dr Idris Rashid alikuwa hajasomea mambo ya umeme lakini aliliendesha shirika kwa ufanisi mkubwa.Sio tu kwamba hajasomea mambo ya umeme hata managerial skills hana.
Hawa washukuru Mungu Magufuli hayupo Angekuwepo Asingengekuwepo Maharage wala choroko.
Mama Wameshamjua udhaifu wake hivyo hawana cha kupoteza.
Magufuli Alitengeneza njia nzuri sana ya kujenga nidhamu ya kazi na sio kuleta mazoea kwenye utendaji.
Mama Akapuuza badala Angekazia pale pale kwenye kufurusha wazembe kazini.
Nature ya watanzania punda Aendi bila mjeledi. Sasa matunda ya kuchekeana na kubembelezana kazini ndio ugonjwa unao itafuna Awamu 6
Na Mama akizidi kuzubaa Atavuna Alichopanda maana huku mtaani watu Hawamuelewi kabisa.
Kwanini umeongea uwongo? Hizo ajira za Afya source ni ujenzi wa hospitali kila wilaya chini Magu, nimetembea mikoa zaidi ya 15 ndani ya kati ya 2015-2020,nimeshudia hospitali zote ktk kila wilaya nyingi zimekamilika bado kiweka vifaa na watu waajiwe na nyingine ujezi wake umefiki karibia 70%.Projects ni priority with time...
1. Ajira zimetolewa ( miaka 5 hakukua na ajira)- afya+ elimu
2. Mashule+ hospitali zimejengwa kila kijiji
3. Mbolea za ruzuku+ masoko kwa wakulima
Hivyo vyote visingeweza kusubiri bwawa likamilike....
Izi nasikia Kwako kumbe alikua msambazaj DStv 😳😳😳😳Tulitakiwa kuona huo usmart kwenye field as long as umeme una katika hivyo wote waliopo kwenye field hiyo kuanzia mfanya maamuzi Rais hadi kwa mtendaji wote ni matatizo.
Huwezi mtoa MTU huko alikuwa anasambaza masidishi ya DSTV na kumleta kuongoza shirika ambalo ndio nguzo ya uchumi Tanzani.Mbaya zaidi watu wote tunakaa kuwaangalia tunategemea walete majibu-poor us.
Unataka abane uhuru Gani ww uoni ivi sasa Wana Habar wanavyingia sekta nyeti Kwa hili mama tumpongeze Tu ila Kitu kimoja ukali Ana iyo ndio shidaNi kweli mama Samia ni kiongozi dhaifu, lakini Magufuli pia hakuwa kiongozi bora. Ukatili na ulevi wa madaraka sio ubora katika uongozi. Nyingi ya sifa unazosema ni zile wapambe wake mlikuwa mnazihubiri, lakini ukweli haukuwa huo. Hata huyu mama angebana uhuru wa habari kama Magufuli, na kuacha mahubiri ya anayoyapenda bado angeonekana wa maana.
Hata wakati ule mgao ulikuwepo tena wa kimya kimya watu tukaa kimya tuHawa kina Maharage Chande kazi imewashinda kabsaa, wameandaa slide kuhadaa umma hatua za JNHP, wakati si kweli.
Kigoma wamezima majenerata, umeme mdogo, unakatikakatika na kusuasua, katoa majibu ya kibabaishaji akimuingiza Ndalichako kutafuta huruma, nonsense kabisa.
Mkurugenzi hilo la kigoma ni jipya kwakwe, kweli? Pia gesi imeshindwa kusaidia upungufu wa umeme, hapo Tanesco wamebinafsisha customer care services, hivi kweli walishindwa kupata watanzania competent kureplace wazembe waliokuwepo customer care?,wakawaboreshea maslahi na mikataba mizuri?, wakaamua kubinafshisha kitengo?,wizi huo,
Hawa acha wamuingize chaka rais Samia, au pengine n na yeye ni mnufaika,
Magufuli aliwezaje?,hawa mbona visingizio vingi sana na kujifanya eti wao hawataongopa,ni wakweli, nonsense!,porojo na lugha laini,wananchi wanateseka,
Hii nchi mpaka mapinduzi ya uongozi yatokee tena ni lazima kabisa , vinginevyo tunasindikiza kundi la wahuni kwa woga wetu.
Kufungulia mabwawa sidhani kama ilikuwa kweli.Kuna issue ya kufungulia mabwawa ameleisi mwandishi mmoja, anasema hakuwepo na ni ngumu kufungulia mabwawa kwa sababu za kiusalama,ya kwamba haiwezekani, issue hapo ni kwamba yalifanyika ya kufungulia maji taratibu kwa lengo la kulowa levo za mabwawa hasa mtela,hawa wanataka kumprove wrong hayati Magufuli lakini wanaishia maneno mengi perform poor
Hata wakati wake mgao ulikuwepo tena kimya kimya hakuna kutangazaMagufuli aliweza nini?sasa kama aliweza mbona tuna mgao sasa hivi?
Mwanasayansi asiyeamini sayansi wapi wapiShujaa Magufuli ni mwanasayansi tofauti na zile degree za Sindimba!
Mwaka huu nimeuza pamba Sh. 2200 kwa kilo tena cash hakuna mkopo badala ya Sh. 500 enzi hizo licha ya kuahidiwa bei ya Sh. 1560 na kukopwa juu.Projects ni priority with time...
1. Ajira zimetolewa ( miaka 5 hakukua na ajira)- afya+ elimu
2. Mashule+ hospitali zimejengwa kila kijiji
3. Mbolea za ruzuku+ masoko kwa wakulima
Hivyo vyote visingeweza kusubiri bwawa likamilike....