Tido anazeeka na ameanza kuonesha upumbavu kiwango cha SGRNimesikiliza na kutazama kwa makini mahojiano kamili kati ta Rostam Aziz na Tido Mhando ambayo yamerushwa hewani kupitia Azam Tv (UTV) kuanzia mida ya saa tatu usiku mpaka mida ya saa nne na dakika kadhaa usiku huu (tarehe 5/9/2025). Na bila kumumunya maneno, mahojiano yale yalikuwa ni maigizo ya kisanii (full staged), yaani Tido Mhando 'ametumika' kufanya coverage, maswali yaliandaliwa na majibu yakaandaliwa na wahusika walifanya mazoezi ya pamoja ya mahojiano, ushahidi ni huu hapa.
1. Mahojiano hayakuwa live na yalikuwa na vipande vingi vilivyokatwa katwa na kuungwa ungwa kiufundi baada ya kuhaririwa kabla ya kurushwa hewani.
2. Maswali yote Tido alikuwa akiyasoma kwa mtitiriko kutoka kwenye notebook yake na Rostam alikuwa akiyajibu kwa mtiririko huku akionyesha kama anayajua maswali yote na mtiririko wake.
3. Kuna maswali kadhaa hayakuwa relevant kabisa na lengo la mahojiano yale lakini yaliulizwa kimakusudi ili kumpa Rostam public sympathy and positive attention (kwa mfano suala la bima ya Afya, utoaji misaada kwa jamii nk).
4. Katika maswali yote ya msingi ambayo Tido aliuliza hakuna hata swali moja Tido aliamua kumbananisha Rostam katika kona ya kumchimba. Yaani jibu la msingi la Rostam lilishindwa kuzaa swali la kukera kutoka kwa Tido Mhando. Kwa kifupi kabisa, Tido Mhando alilidhishwa na kila jibu la Rostam katika swali la msingi.
5. Kuna maswali mengi sana ya kimsingi ambayo Tido alikwepa kabisa kumuuliza Rostam Aziz. Ni kama vile Rostam alitaka kuulizwa yale maswali ambayo angependa tu kuulizwa na sio vinginevyo. Kwa mfano, utata wa kifo cha Magu nk.
NOTE:
Kwa wataalamu wa tasnia ya uandishi wa habari wakichunguza haya mahojiano wanaweza kumtazama Tido kama mwandishi asiyekuwa na chembe ya sifa za uandishi wowote wa habari ukiwa utamlinganisha na mwanafunzi yoyote wa ngazi ya cheti aliyejiunga na chuo cha uandishi wa habari na kukaa darasani nusu mwezi kujifunza uandishi wa habari. It was a poor interview!
Lakini hata wewe umeweka neno kama ameiba; maana yake unafanya speculations kama wanavyofanya wengine... by the way utajiri wa Rostam uko wazi sana kuliko matajiri wengi hapa Bongo.... jiulize kwann hata mzee Bakhresa utajiri wake hauko waziii????Kwa majibu ya wengi kuhusiana na mahojiano ya RA na TM inaonyesha kuwa Tanzania bado tunasafari ndefu ya kuzuia ufisadi na wizi wa mali za umma. RA hata angekuwa tajiri vipi lakini kama ananufaika kupitia kuiba na kufisadi rasilimali zetu akishirikiana na uongozi wa nchi ulioko madarakani kwakweli hastahili kutetewa kusifiwa.
- Mindset ya watanzania ibadilike
- Tukatae kuona ufahari ya umasikini na kusherehekea ufukara
Awe Mzalishaji, siyo Mwizi.Binafsi nmemwelewa Sana rostam,
Umaskini sio sifa, Wala ishara ya uzalendo
Humu JF tulishawahi kufikiriaga wewe ndio huyo jamaa.Nilichogundua,
Rostam aziz ni mtu humble na Yuko poa Sana tofauti na wengi wanavomzungumzia,
Nilitarajia atakua na kebehi na maneno ya shombo Kama wanasiasa wetu wanavokurupuka.
Jamaa Ana vision kubwa sana ya kimaendeleo, sio TU Kwa nchi, Bali Hata Kwa uchumi WA mmoja mmoja.
Kwa wafanyabiashara WA ndani na wawekezaji WA kitanzania.
Kama kweli mlipata kumsikiliza kipind Cha uzinduzi WA dira ya taifa, pia Leo kwenye mahojiano na Tido.
Mtangundua kua,
Sekta binafsi imepata mtu poa Sana WA kutuzungumzia na kutupigania tusonge mbele.
Binafsi,
FROM THE BOTTOM OF MY HEART,
NMEMWELEWA SANA ROSTAM AZIZπ
Atakuwa black kama Steven Wassira ndani ya dakika 6 za kwanza za mahojiano!!Rostam aende kwa Ondemba
Asante kwa maoni yako, ukitumua haki ya Raia mwema kikatiba. Sasa tusubiri na wengine waliomsje, mko wengi Raia wema.Nimesikiliza na kutazama kwa makini mahojiano kamili kati ta Rostam Aziz na Tido Mhando ambayo yamerushwa hewani kupitia Azam Tv (UTV) kuanzia mida ya saa tatu usiku mpaka mida ya saa nne na dakika kadhaa usiku huu (tarehe 5/9/2025). Na bila kumumunya maneno, mahojiano yale yalikuwa ni maigizo ya kisanii (full staged), yaani Tido Mhando 'ametumika' kufanya coverage, maswali yaliandaliwa na majibu yakaandaliwa na wahusika walifanya mazoezi ya pamoja ya mahojiano, ushahidi ni huu hapa.
1. Mahojiano hayakuwa live na yalikuwa na vipande vingi vilivyokatwa katwa na kuungwa ungwa kiufundi baada ya kuhaririwa kabla ya kurushwa hewani.
2. Maswali yote Tido alikuwa akiyasoma kwa mtitiriko kutoka kwenye notebook yake na Rostam alikuwa akiyajibu kwa mtiririko huku akionyesha kama anayajua maswali yote na mtiririko wake.
3. Kuna maswali kadhaa hayakuwa relevant kabisa na lengo la mahojiano yale lakini yaliulizwa kimakusudi ili kumpa Rostam public sympathy and positive attention (kwa mfano suala la bima ya Afya, utoaji misaada kwa jamii nk).
4. Katika maswali yote ya msingi ambayo Tido aliuliza hakuna hata swali moja Tido aliamua kumbananisha Rostam katika kona ya kumchimba. Yaani jibu la msingi la Rostam lilishindwa kuzaa swali la kukera kutoka kwa Tido Mhando. Kwa kifupi kabisa, Tido Mhando alilidhishwa na kila jibu la Rostam katika swali la msingi.
5. Kuna maswali mengi sana ya kimsingi ambayo Tido alikwepa kabisa kumuuliza Rostam Aziz. Ni kama vile Rostam alitaka kuulizwa yale maswali ambayo angependa tu kuulizwa na sio vinginevyo. Kwa mfano, utata wa kifo cha Magu nk.
NOTE:
Kwa wataalamu wa tasnia ya uandishi wa habari wakichunguza haya mahojiano wanaweza kumtazama Tido kama mwandishi asiyekuwa na chembe ya sifa za uandishi wowote wa habari ukiwa utamlinganisha na mwanafunzi yoyote wa ngazi ya cheti aliyejiunga na chuo cha uandishi wa habari na kukaa darasani nusu mwezi kujifunza uandishi wa habari. It was a poor interview!
Ishu ni ROSTAM kufanikiwa?
au ishu ni ROSTAM kufuja rasilimali za nchi?
Mbona wazungu wamenufaika na rasilimali zetu na hamjapiga KELELE?
Au ni dhambi mtanzania kumiliki migodi na biashara kubwa kubwa nchini?
Sasa sote tukiwa maskini,
Ni nani atamsaidia mwenzake?
Salama kabisa T 1990 ELY Aah mambo yakibadilika π π π π ni swala la muda tu, hata yeye anajua. Kipindi cha jiwe aliona akahamisha.
Vizuri sana kama ni salama kabisa Bantu LadySalama kabisa T 1990 ELY Aah mambo yakibadilika π π π π ni swala la muda tu, hata yeye anajua. Kipindi cha jiwe aliona akahamisha.
Ukitaka kula na kipofu... Rostam yupo sana na mipango ya muda mrefu so usitegemee atatoa maneno ya shombo kama ya Mramba, Chenge, au Tibaijuka.Nilichogundua,
Rostam aziz ni mtu humble na Yuko poa Sana tofauti na wengi wanavomzungumzia,
Nilitarajia atakua na kebehi na maneno ya shombo Kama wanasiasa wetu wanavokurupuka.
Jamaa Ana vision kubwa sana ya kimaendeleo, sio TU Kwa nchi, Bali Hata Kwa uchumi WA mmoja mmoja.
Kwa wafanyabiashara WA ndani na wawekezaji WA kitanzania.
Kama kweli mlipata kumsikiliza kipind Cha uzinduzi WA dira ya taifa, pia Leo kwenye mahojiano na Tido.
Mtangundua kua,
Sekta binafsi imepata mtu poa Sana WA kutuzungumzia na kutupigania tusonge mbele.
Binafsi,
FROM THE BOTTOM OF MY HEART,
NMEMWELEWA SANA ROSTAM AZIZπ
Huyu bwana unaweza kumchukua vyovyote vile,lakini wengi humchukua kwa kufata mkumbo,wakizuka watu kumsema mwizi bali fata mkumbo mwite mwizi,lakini huyu jamaa ni mpambanaji na amefanya mengi mazuri,mfano:Nimesikiliza na kutazama kwa makini mahojiano kamili kati ta Rostam Aziz na Tido Mhando ambayo yamerushwa hewani kupitia Azam Tv (UTV) kuanzia mida ya saa tatu usiku mpaka mida ya saa nne na dakika kadhaa usiku huu (tarehe 5/9/2025). Na bila kumumunya maneno, mahojiano yale yalikuwa ni maigizo ya kisanii (full staged), yaani Tido Mhando 'ametumika' kufanya coverage, maswali yaliandaliwa na majibu yakaandaliwa na wahusika walifanya mazoezi ya pamoja ya mahojiano, ushahidi ni huu hapa.
1. Mahojiano hayakuwa live na yalikuwa na vipande vingi vilivyokatwa katwa na kuungwa ungwa kiufundi baada ya kuhaririwa kabla ya kurushwa hewani.
2. Maswali yote Tido alikuwa akiyasoma kwa mtitiriko kutoka kwenye notebook yake na Rostam alikuwa akiyajibu kwa mtiririko huku akionyesha kama anayajua maswali yote na mtiririko wake.
3. Kuna maswali kadhaa hayakuwa relevant kabisa na lengo la mahojiano yale lakini yaliulizwa kimakusudi ili kumpa Rostam public sympathy and positive attention (kwa mfano suala la bima ya Afya, utoaji misaada kwa jamii nk).
4. Katika maswali yote ya msingi ambayo Tido aliuliza hakuna hata swali moja Tido aliamua kumbananisha Rostam katika kona ya kumchimba. Yaani jibu la msingi la Rostam lilishindwa kuzaa swali la kukera kutoka kwa Tido Mhando. Kwa kifupi kabisa, Tido Mhando alilidhishwa na kila jibu la Rostam katika swali la msingi.
5. Kuna maswali mengi sana ya kimsingi ambayo Tido alikwepa kabisa kumuuliza Rostam Aziz. Ni kama vile Rostam alitaka kuulizwa yale maswali ambayo angependa tu kuulizwa na sio vinginevyo. Kwa mfano, utata wa kifo cha Magu nk.
NOTE:
Kwa wataalamu wa tasnia ya uandishi wa habari wakichunguza haya mahojiano wanaweza kumtazama Tido kama mwandishi asiyekuwa na chembe ya sifa za uandishi wowote wa habari ukiwa utamlinganisha na mwanafunzi yoyote wa ngazi ya cheti aliyejiunga na chuo cha uandishi wa habari na kukaa darasani nusu mwezi kujifunza uandishi wa habari. It was a poor interview!
Nyanda ana nini mjinga yule msukuma mshamba kabisa.Huyu Rostam wakutane na aloyce nyanda.
Wewe juzi juzi hapa si ulikuwa unajifanya ati ni jasusi uchwara unaongea kwa "codes" za TISS!Rostam aziz Yuko smart Sana,
Ile interview kiukweli imenimotivate Sana,
Inabidi watz tuache roho za Kwanini,
Ifike hatua tufurahie mafanikio ta mtanzania mwenzetu, na sio kujenga chuki.