Mahojiano ya Rostam na Tido Mhando ni maigizo kwa 100% (staged interview)

Ata mimi nilitegemea ahojiwe kuhusu umilikibwa mgodi wa makaa ya mawe na ulipaji kodi
Lakini pia mhandishi alitakiwa amuulize rostam kuhusu madai ya polepole kuwa yeye ni mmoja katii ya wanamtandao
Mhandisi alipangwa mapema nimeshitukia hilo
 
Binafsi nmemwelewa Sana rostam,
Umaskini sio sifa, Wala ishara ya uzalendo
Ila watanzania tuna roho za chuki na wivu sana! Pia tuna akili ndogo sana ya uelewa wa mambo! Nimemsikiliza vizuri sana jamaa hakuna mahali kaelezea akaacha sintofahamu hakuna!!

Mleta uzi ndo wale kondoo wa hekaya za Pplepole
 
Binafsi nmemwelewa Sana rostam,
Umaskini sio sifa, Wala ishara ya uzalendo
Ni kweli kabisa umasikini si jambo la kujisifia na wala hatupaswi utukuza wala onea huruma umasikini.
Je tunautukuzaje?
Kwa elimu bure isiyo na la maana
Masoko machafu
Mpangilio hovyo wa makazi

Kutumia neno Wanyonge
 
Huyu fisadi anapataje airtime kwenye media

Huyu ni wa kupiga Pini kutoka hata nje ya Tanzania sema tu nchi yetu vyombo vya usalama vimekufa!!
Wewe na zamwamwa zumbukuku mzungu wa reli!! Nyie mashwaini ni ya kukanyaga tu vichwa!
 
Tatizo wengi mna chuki zisizo na mashiko,

Kumchukia tajiri haiwezi kukuondolea umaskini ulionao

WaTanzania tunapaswa kubalisha Sana hii mindset
Bakherasa sio tajiri? Kwa nini watu hawamchukii Bakherasa?
 
Ata mimi nilitegemea ahojiwe kuhusu umilikibwa mgodi wa makaa ya mawe na ulipaji kodi
Lakini pia mhandishi alitakiwa amuulize rostam kuhusu madai ya polepole kuwa yeye ni mmoja katii ya wanamtandao
Mhandisi alipangwa mapema nimeshitukia hilo
Umesikiliza kipindi hadi mwisho? Ila wabongo aisee hatari haya yote unayoongea kayaelezea mule Yaani unakuja na hukumu na interview hujaangalia?
 
Bakherasa sio tajiri? Kwa nini watu hawamchukii Bakherasa?
Bakhresa hajajiweka wazi wazi kwenye siasa japo huko ndo wanasiasa wengi sana wamejikita hasa wanaotokea Zanzibar
 
Binafsi nmemwelewa Sana rostam,
Umaskini sio sifa, Wala ishara ya uzalendo
Ndio neno lao wanatumia kama ngao kujitetea, ila tukianza kuhoji upatikanaji wa utajiri na wengine kama hawa wanajulikana kama wezi wa rasilimali za Taifa inakuwa nongwa.

Binafsi sina malalamiko kama upatikanaji wa utajiri wake amepata kwa njia halali sio kuua tembo wetu, kujibebea rasimali za taifa kwa bei chee.

Matajiri dhulmat wakupingwa hata kama wanasema umasikini sio sifa, kuiba mali kuwa tajiri sio sifa pia
 
Leteni Full Video na sie Tumsikie Huyu Ponjoro
 
EPA ni akaunti iliyoundwa na mzee mwinyi kulipa madeni ya nje,waliozitwanga hizo pesa wali-acqire company zilizokua zikiidai serikali
 
Hakuna substances kwenye hizo news,hazielezi EPA ni nini haswa
 
Huyu Muhindi sijui kwa nini anajisumbuaga kutulazimisha tumpende. Halafu bado haamini kuwa Watanzania sio wajinga na mambumbumbu kama anavyodhanigi. Sisi hatumuelewi kwa njia anayotaka tuelewe. Tuko pamoja na Polepole.
 
Wewe juzi juzi hapa si ulikuwa unajifanya ati ni jasusi uchwara unaongea kwa "codes" za TISS!

Acha ushamba, migodi inaibiwa unajifanya unaongea kwa codes na kuwaabudu majambazi?

Ati Jasusi! Jinga kabisa!
Tatizo liko wapi mtanzania mwenzetu akifanikiwa na akatamani tufanikiwe sote?

Hivi unaona ni sahii tuwe na WaTanzania waowekeza nje na kutajirisha nchi za kigeni na Sio humu ndani?
 
Rostam Ni mpambanaji haswa,
ana mengi ya kuwamotivate WaTanzania hasa vijana WA wanaojitafuta,

Bahati mbaya wengi hawapati upande wake wa pili wa stori, zaid ya kuskia habari zake mbaya TU zilnazoenezwa Kila Kona.

Jamaa amekua na influence sana na serikali, Hadi wawekezaji wa ndani wamepata msamaha WA Kodi wanapoanzisha mradi WA biashara Kwa mara ya kwanza.

Misamaha ya Hivi walikuaga wanafaidika nayo wageni TU.

Ila jamaa tangu arudi kuwekeza bongo, ni mambo mengi sana amechangia yafanyiwe reform.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…