Mahusiano mabaya aliyopitia Kasinde kwenye maisha yake (uhalisia)

Kama haupendi ukatili na uyu dogo hpa ww kassie ulikua unamkanda kama ngano kwa nini? Alafu mwaka1990 hakukua na cm za kujaza vocha au umeongea kwa code mimi ndyo mgumu kuelewa?View attachment 2244027


Mmh sijui maudhui ya hiyo picha na sielewi huyo mtoto anachangamoto gani ila nachukia vurugu vurugu ugomvi ugomvi kupigana na kuuana..... hate it kabisa.....

Mbali mbali na mimi..

Hiyo simu kuwa 1990 ni code kupunguza ukali wa uhalisia.
 
Naongea with experience, najiona kabisa naelekea kufia mikononi mwa mtoto wa mtu, Ila ndo hivo nimevurugwa na show, nakitoka kupewa kichapo nabembelezwa hadi natamani niseme nipige tena....
Niombeeni.
 
Naongea with experience, najiona kabisa naelekea kufia mikononi mwa mtoto wa mtu, Ila ndo hivo nimevurugwa na show, nakitoka kupewa kichapo nabembelezwa hadi natamani niseme nipige tena....
Niombeeni.

Kwa imani yeyote uliyonayo anza kufunga kwa ajili ya maisha yako...

Kwanini Mungu aliruhusu uzaliwe...

Je wewe una umuhimu gani hapa duniani,

Na je ikitokea umeondoka (umekufa) kutokana na mahusiano uliyonayo, nani ataathirika zaidi na kuondoka kwako duniani..?

Ukipata hayo majibu anza kufunga na uwe unatafakari kujihusu...

Ukiona hupati jibu, mwanga, maamuzi yeyote basi it’s your destiny to die there...

Ila, acha na futa kutamka mauti..... najua wote tutakufa ila sio kwa mahusiano ya kimapenzi wivu and the like....

Na makansa mengine yanaletwa na kujaa sumu za stress mwilini....

Ni kitu gani unaweza kukifanya mwenyewe maishani mwako bila kumtegemea mtu.....

Lastly sex is there..... always there but your life matter.

I know it’s not easy but you need self push out nobody can pull you out there, nobody.

Not even other people’s prayer.

It’s only you.

All the best pal.

Ciao.
 
Huu uzi unenisikitisha lakini haujanikatisha tamaa. Niko kwa treni naelekea Butiama.

Babu ni babu
 
Da Kasie, tumezaa four kids*, nawaza nikiondoka vipi kuhusu hawa watoto.....ingawa hanipigi siku hizi Ila simuamini tena....na hanipigi kwa sababu nimeamua kujifanya mjinga, though wakati mwingine uzalendo unanishinda....
Imagine na hapo nimesoma psychology....Ila nashindwa!
 
Kikubwa punguza mdomo wa juu, kua na kauli nzuri Kwa mumeo uone kama hajabadilika.
 
Just kill yourself you need to rest sis enough is enough just leave that monster alone with kids ili ajifunze in hard ways
 
Toxic Relationship... Wanawake wenye uzungu na Ufeminist huwa mnakutwa na matukio sana πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Same story different version.
 
Chai inaanzia kuwa na simu ulipotoka jeshini. Mobile phones hazikuwepo
 
Kasie:

Kuna viashiaria uliviona mwanzo, kwa nini ujipe moyo kuwa atabadilika ilihali si kweli ?? Unakuwa na mtu kwa sababu ya!!
 
Dah ganja tena[emoji849] duh pole sana hakika uyo mchuchu wako alikuaribu sana kiakili eniwei yote maisha imebaki stori tu tulizana na kibabu chako msukume siku ziende
 
Kikubwa punguza mdomo wa juu, kua na kauli nzuri Kwa mumeo uone kama hajabadilika.

Hii wala sio sababu, mie sikuwa Na maneno ya shombo nilikuwa mkimywa mpoleee hata kama kosa ni lake naomba msamaha ila alikuwa anakuja anakuuliza umjibu ukikaa kimya anasema kiburi kipigo, ukijibu samahani ili umshushe hasira za pombe na saa ingine hata kama hajanywa ukiwa umeuliza swali genuine tuu kama ukiomba msamaha yaishe ndo unakuwa umemchochea ugomvi unapamba moto na kipigo juu.

It isn’t a good experience at all....

Nawashangaaga wanaume wanaochochea kupiga mwanamke no matter what.
 
Just kill yourself you need to rest sis enough is enough just leave that monster alone with kids ili ajifunze in hard ways
Kuna misimamo nimemuonyesha, amebadilika Ila Mimi sina Imani nae tena, nahisi kuna siku anaweza kunipiga tena....
Ila nimejiapiza siku akinigusa hii ndoa imeisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…