Mahusiano mafupi kuliko yote ushawahi kuwa nayo

Nilimtongoza akanikubalia. Ktk chatting akaniuliza jina nalotumia insta nikamtajia, na yeye akanitajia la kwake. Akani-follow. Nikaangalia watu anaowafollow, lahaula nikamkuta Joyce Kiria pale!

Nikaanza fatilia post za Kiria nikakuta mamaa ana-comment kwa kuonyesha anasupport harakati za yule mwanadada. Sikua na jinsi zaidi ya kumtema. Ilichukua dakika 20.
 
Nilianzisha mahusiano na bint wa chuo akiwa mwaka wa pili Dar, mdada mrembo sana wa Kihaya,jioni ya siku hiyo tukatoka for dinner,mwanachuo akaagiza kitimoto kg mbili na ndizi sita,mi nikaagiza kuku nusu na ndizi moja pale pale after dinner sikuwa na story nae na no nikafuta
 
Kwa nn sasa???
 
Duuh kilo 2 nyingine alibeba nyumani au [emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kisa kg 2 kitimoto na ndizi 6... 🀣🀣🀣🀣
Huyo alikuwa hali yeye ni majini
 
Hukumgegeda mwanawane? πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mie siku mbili tu jamani, Jamaa yule alikua anapiga simu kama customer care. Alafu cha maana hakuna..mara umekula, unafanyaje, nimekumiss mfyuu ila si kosa lake alikua jobless yaan wanaume fanyeni kazi hata kama kuzibua choo wacheni ubishoo.
Wanawake hawawapendi wanaume wanaowapenda bali wanawapenda wale ambao wapo busy to chase a bag.
 
Sasa binti unaishi kwa baba na mama, huo muamala unataka kuupeleka wapi , au unataka kuhongwa na wewe ukamhonge kimwanaume chako.
 
Aka siko hivyo bwana...ntagegedana je na kila mtu? We komaa.
Yani ile serious sana kwakweli sitaki. Watu ni waongo sana.
Nkisema nakupenda lazima nibakishe kilinda moyo
Watu kama wewe wanakuwaga wahuni wahuni.
 
Acha kutongoza mademu wa uswahilini.
 
Nlienda Mbweni kuzuga jioni na bia mbili tatu kiwanja inaitwa Club belcanto nikaweka pose sehemu nikaona kuna dada mmoja kapendeza anagonga heinken taratiibu nikamthaminisha nikaona anafaa kulumangiwa na ugali,
nimstue mhudumu ampe namba yangu, yule demu akantext tukachat nika mwagizia zingine mbili baridi akaniita nikae nae pale mezani.
Story mbili tatu nikaanza kumshika mapaja demu katulia alivaa kigauni kifupi na Rasta zake hadi kiunoni, baada kumpapasa kwa muda manzi akapata moto akanambia niende kwake nikapafahamu sio mbali na hapo basi tukaenda akamuamsha beki tatu wake akafungua geti nikazama hadi room,
tukaoga kumbe yule manzi mme wake yupo Kaburu (South Africa) so anaishi na ndugu zake pamoja na watoto,
Yeye ana duka la jumla la madawa baridi K,Koo. Kidume nikisikia demu ananyege alafu ni mke wa mtu hua sifanyi makosa nikamsugua mashine kiustadi hadi akatosheka nikaoga tukalala mie saa 9 usiku nikaaga nikasepa bahati mbaya namba yake siku save mpaka leo sikumuona tena ila kwake napafahamu ni penzi la masaa tu.
 
Mie siku mbili tu jamani, Jamaa yule alikua anapiga simu kama customer care. Alafu cha maana hakuna..mara umekula, unafanyaje, nimekumiss mfyuu ila si kosa lake alikua jobless yaan wanaume fanyeni kazi hata kama kuzibua choo wacheni ubishoo.
Kwa hiyo kukupigia simu mara kwa mara ndio lilikuwa kosa lake?,Ila Kweli wanawake hamueleweki,mpo km chura haijulikani mmechuchumaa au mmekaa.Mwanaume akuonesha kukujali mnasema msumbufu,akikupigia simu mara mojamoja,mnasema hawajali,sasa mnataka tufanyeje?.
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€bora hukusave namba maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…