Mahusiano Mapya ya Mara kwa Mara ni Umalaya au Safari ya Kumtafuta Mtu Sahihi?"

Nimeishiwa maneno uwiiiiii 🤣🤣🤣🙌🙌
Ile mada iliteka mjadala pale, tulikuwa wanaume watatu na wanawake wanne, tulihojiwa maswali haswaaa maana ilionekana ile confidence aliyokuwa nayo yule dada (muhadithiaji) na yule mmiliki wa grocery na lugha yao waliyokuwa wakiitumia pale iliendana sambamba hasa na mimi 😀 kwahiyo ikawa na mvuto mmoja wa hatari.

Alituchekesha anasema.....nimechukua namba zake maana nimemuambia nikiwa na nyegge niwe namtafuta ananirarua kama alivyonirarua hapa nilipo hata chupi sijaivaa maana kitu chochote kikinigusa huku (anaoneshea kunako*****) naskia kero 😆

Ukichanganya masimulizi yake na ile lafudhi ya kiarusha na maneno yao yale ya mtaani mbavu Sina 🤣🤣
 
Wewe tena walikupatia mambo upendayo kusikia
Wewe kukuamini nimekataaa🤣🤣🤣🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…