ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #221
Beautiful things don't come often in life. When you find one, don't let it go just because it has flaws
Beautiful things don't come often in life. When you find one, don't let it go just because it has flaws
Nimefanyaje babu tena mimi 😎Umekuwa mkorofi sana leo!!
Sawa mkuu asante kwa maoniHakuna baya as long as hamfanyi ngono zembe ila kama Kama ngono zembe inafanyika kwa Kasi huo ni .......tu , utamaliza mtaa huku bado hujapata mtu sahihi
Yule kanyoka siyo morofi... Ila nini nipe chance nitafute maujuzi nje, nije nayo kwako...Ogopa matapeli☺☺☺
Hakika hakuna alie perfect lakin walau muendane kwa mambo mengi hayo machache ni kuvumiliana tuSiyo mbaya kutafuta wa kuendena naye maana hakuna aliye sahihi 100%.
Wee Jichanganye uone.Yule kanyoka siyo morofi... Ila nini nipe chance nitafute maujuzi nje, nije nayo kwako...
Kwakweli huwezi kuishi na Bomu kwa kuogopa walimwengu watakusema, Bomu litakapokupasukia hao hao walimwengu watakucheka na kukujadili.Hakika hakuna alie perfect lakin walau muendane kwa mambo mengi hayo machache ni kuvumiliana tu
Mkiwa wawili kwa wakati mmoja mtaniua aisee... hahahaha... Mtaninyosha aisee ila bado akili haitanikaa sawa...Wee Jichanganye uone.
Ukienda nisione kwato zako tena ubaki hukohukooo!! Au labda ufanye kama navokuambiaga
Unajua!!Nimefanyaje babu tena mimi 😎
Kuna mahali nimeandika hivo?Kwa mantiki hiyo inaonyesha ushakua na wengi, bado hujapata sahihi tuu 🤔
Au ukila ule yuleeeeeee ☺☺☺☺Mkiwa wawili kwa wakati mmoja mtaniua aisee... hahahaha... Mtaninyosha aisee ila bado akili haitanikaa sawa...
Kwa nini uanzishe mahusiano mapya wakati mnaweza mkawa mnaoeana utam utam na sasampaKuna watu wanaohesabu hii kama umalaya
Kuna wengine wanaamini ni sehemu ya kujaribu mpaka umpate yule mtu ambaye mnaendana
Mimi binafsi naona kuwa na mahusiano mapya mara kwa mara sio tatizo sana
Nadhani hii hutokea pale unapokutana na mtu, mkajenga ukaribu, halafu ukagundua kwamba kumbe hamwendani
Mara chache sana utagundua hilo mwanzoni
Mara nyingi linajitokeza baada ya mazungumzo ya mara kwa mara na kuanza kujuana kwa undani
Ukikaa makini utaanza kugundua akili ya mtu kupitia maongezi yake
Namna anavyoongea akiwa na hasira, akiwa na huzuni, akiwa na furaha au akiwa kwenye changamoto mbalimbali
Hapo ndipo unaanza kuona huyu mtu ni nani hasa
Kosa ambalo naona linawagharimu wengi ni kufanya sex mapema
Sex ya mapema ikishafanyika halafu baadaye ukagundua kuwa hamwendani kwenye mambo mengi, ndipo watu huanza kujilaumu
Wengine hujihisi kama walijitoa kwa mtu ambaye hakuwastahili, wakaanza kuona kama waliji-expose kwa mtu ambaye asingepaswa kuwafikia
Lakini kama baadhi yetu tungekuwa tunapeana muda wa kujuana kwanza, hata kama si mrefu sana, naamini majuto yangepungua
Pia kila mmoja angeweza kulinda heshima yake na kufanya maamuzi akiwa na uhakika zaidi
Lakini sasa kujuana leo kesho jigijigi 😎
Kwa upande wangu, sioni tatizo kuwa na mahusiano mapya ikiwa lengo ni kumpata mtu ambaye mnaona mnaweza kwenda naye sawa
Maana unaweza kumdate mtu, halafu kadiri muda unavyokwenda unaanza kushangazwa na matendo yake, na namna anavyofikiri Mwishowe unajikuta unauliza, Hivi huyu kweli kwa akili hizo hakuna kitu hapa sioni kama kuna tatizo ukiachana nae kuliko kupandisha maji mlima
Swali la mjadala:👇
Wewe unaonaje? Ni vibaya kuanzisha mahusiano mapya mara kwa mara?
Na kama ni vibaya kwa nini?
Au unagubu mwanetu? 😎
ShesRise_1 ✋️
📌❤️🫂Kwakweli huwezi kuishi na Bomu kwa kuogopa walimwengu watakusema, Bomu litakapokupasukia hao hao walimwengu watakucheka na kukujadili.
Shwaaaa 🙅♂️Unajua!!
Mahusiano yana mambo mengi zaidi hayo we mzee wa mbususuKwa nini uanzishe mahusiano mapya wakati mnaweza mkawa mnaoeana utam utam na sasampa
Hivi ndiyo hakunaga urafiki kati ya Mwanaume na mwanamke...Au ukila ule yuleeeeeee ☺☺☺☺
huu nao ni umalaya tuMimi binafsi naona kuwa na mahusiano mapya mara kwa mara sio tatizo sana
Asante kwa maonihuu nao ni umalaya tu