Mahusiano Mapya ya Mara kwa Mara ni Umalaya au Safari ya Kumtafuta Mtu Sahihi?"

Mwanaume unapo amua kuoa
Huwa vijana wa mtaani wanajiuliza yule mdada aliemuao ameenda mileage ngapi? maana yake amepita na wanaume wangapi?

Ni kama unavyonunua gari, unataka kujua tokea gari ikiwa mpya, ni wamiliki wangapi wamepita hapo?
 
Yaani aoe mwingine halafu wengine wanahoji ili iweje
Ni kama unavyonunua gari, unataka kujua tokea gari ikiwa mpya, ni wamiliki wangapi wamepita hapo?
Wewe unataka kujua pia?
 
Utawezaje kuhakiki machaguo vizuri before ya kuingia dating

Ohoo sawa mkuu
Makosa ya ku date the wrong guy yanawatokea zaidi wanawake kwasababu mara nyingi mpaka mwanamke akutilie maanani mwanaume ni mpaka awe na hisia chanya na wewe au uwe na uwezo mkubwa sana wa kutapeli hisia za kiumbe KE. Na ndo hapo tatizo huwa linaanzia. Ukishatanguliza hisia uwezekano wa kuuona uhalisia unapungua. Kupunguza uwezekano wa kutapeliwa, tanguliza akili kuliko hisia kwenye kuwahakiki watahiniwa wako wa mahusiano ya kudumu.
 
Asante sana mkuu karibu tena
 
Back
Top Bottom