Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,958
- 183,574
Unaumwa magonjwa mengi sana mjukuu🤣🤣Hivi yeye aliwahi kukupa hela yake?
Unaumwa magonjwa mengi sana mjukuu🤣🤣Hivi yeye aliwahi kukupa hela yake?
Tatizo kubwa sana linawasibu vijana ni kujidanganya kuwa ndoa ni kut****mbana tu. Hapana, ndoa ni zaidi ya lile tendo maana Kuna mipango mingi sana inayopaswa kutekelezwa ndani ya ndoa.Aisee hongera myaka mitatu mtoto anazaliwa na anatembe kabisa
Hongera sana
MashaAllah 🤗
Huyo no uno ni mshua haifai
Ona sasa unavyotafuta vipengele🙆♂️🙆♂️Huyo no uno ni mshua haifai
No 2 nadhani mtoto 😁
No tu ana mtuwe alisema wana chat upenuni huko
Akija kwangu ataenjoy sana sina mambo mengi.
Milango bado ipo wazi mshindi atasaini cheti cha ndoa.Huyo no uno ni mshua haifai
No 2 nadhani mtoto 😁
No tu ana mtuwe alisema wana chat upenuni huko
Aiseenever na nimuajiriwa
Unapanga mipango naye alafu kipochi manyoaa na makebu anakipeleka kwa mkosa mipangoTatizo kubwa sana linawasibu vijana ni kujidanganya kuwa ndoa ni kut****mbana tu. Hapana, ndoa ni zaidi ya lile tendo maana Kuna mipango mingi sana inayopaswa kutekelezwa ndani ya ndoa.
Sijasema usiombe bibi uomba akikunyima muibieKumbe ukipenda hutakiwi kuomba hela🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Nani kasema?
Duh sijaelewaNamkubali mtume Mohammad aliona hayaa mapema akapitisha sheria ya kuyaoa na kuyaacha kama umeyachoka au unayaoa hata kumi unafungia ndani kama kuku......
💕 Is stupid kwa Mwanaume na haina faida
Akhaaa huachii😂😂Milango bado ipo wazi mshindi atasaini cheti cha ndoa.
Niue basi ufurahi 😂Unaumwa magonjwa mengi sana mjukuu🤣🤣
hahaha ambaye anayeweza ni malaika pekee sisi vijan akiachama tu tunafunga maombimnachunguliana tu! Halafu kila mtu anaifunga dudu yake kwa kitambaa kizito
Kabisa kabisa ndoa ni zaidi ya jigijigiTatizo kubwa sana linawasibu vijana ni kujidanganya kuwa ndoa ni kut****mbana tu. Hapana, ndoa ni zaidi ya lile tendo maana Kuna mipango mingi sana inayopaswa kutekelezwa ndani ya ndoa.
Wa huko njee na hii platform ya jeyihefu 😎Ona sasa unavyotafuta vipengele🙆♂️🙆♂️
Unataka wa vipi?