Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
kuna mwanamke nilikuwa nae kipindi cha miaka ya nyuma
Tulimeet fresh chemistry ikakubali ila mimi nikamzidi keti akawa anaomba ela kila mara mara simu kali,Kodi,umeme..nk halafu ukizngtia ni mwajiriwa ila nikawa namwambia sina hela au nampa kidogo at the end of time akalala mbele nikainjoi sana maan almanusura nianze kumshirikisha mambo yangu ya kiuchumi..