ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #41
Soma tena ili uchangie bila mihemkoUmalaya mtupu, yaani unamtafuta aliye sahihi kwa kutombana na asiye sahihi !!
Soma tena ili uchangie bila mihemkoUmalaya mtupu, yaani unamtafuta aliye sahihi kwa kutombana na asiye sahihi !!
Nimesoma uzi mzima na replies zote mpaka reply #41Soma tena ili uchangie bila mihemko
Aisee alifeli mtihani sananilikua nampima ila uvumilivu ulimshinda akakimbia nikabaki nacheka tu 😂
Haya poa 👍Nimesoma uzi mzima na replies zote mpaka reply #41
Halafu nilikua nikimwambia sina hela au ntakuchangia kidogo ana mind kishenzi ananuna siku nzimaYaani hawa viumbe kwenye hela ni hatari sana 😂😂😂
Hata kama anakupenda lakini inapokuja ishu ya hela ni lazima utata utokee, nilichogundua unaweza ukajieleza vizuri na ukaeleweka lakini kitu kidogo tu huharibu na kuvuruga mipango yote.
La msingi mwanaume simama kama wewe halafu mipaka yako iheshimike
Ilibakia kidogo tu nianze kumshirikisha mambo yangu ya kiuchumi ila ndio hivyo akalala mbele nikainjoi sana nikajishukuru sana sanaaAisee alifeli mtihani sana
Nilimchunguza miaka mitatu ambapo miwili kati ya hiyo nilikuwa namfuatilia pasipo yeye mwenyewe kujua, mwaka mmoja nilimfuatilia akiwa tumeshafahamiana.Mama ulimchukua bila kupepesa macho?
mnachunguliana tu! Halafu kila mtu anaifunga dudu yake kwa kitambaa kizitozikidhidi nyege unafanyeje?
Uende wapi weye???? Baki hapaa tuzeeshane usintaniee😊😊😊
Ubahili wako ulikuokoaIlibakia kidogo tu nianze kumshirikisha mambo yangu ya kiuchumi ila ndio hivyo akalala mbele nikainjoi sana nikajishukuru sana sanaa
aah kwa kweli aise 😁Ubahili wako ulikuokoa
Hauna mjukuu huko unipee😎Kwani mjukuu unamtaka wa aje?
Chukua pepo lako moja uwe unalikemea huku mkisonga mdogo mdogo.
Aisee hongera myaka mitatu mtoto anazaliwa na anatembe kabisaNilimchunguza miaka mitatu ambapo miwili kati ya hiyo nilikuwa namfuatilia pasipo yeye mwenyewe kujua, mwaka mmoja nilimfuatilia akiwa tumeshafahamiana.
Lakini kubwa zaidi nilianza kwanza kumfuatilia na kumchunguza mama yake mzazi (baba yake nilikuwa namfahamu vizuri).
Tabia za binti kwa kiasi kikubwa sana hulandana na za yule aliyemlea na kumkuza, yaweza kuwa ni mama yake au ndugu yake.
MashaAllah 🤗Yote kwa yote ili ndoa iweze kudumu ni sharti mke amuamini, kumheshimh na kumtii mumewe, wakati huo mume amsikilize mkewe
Kwanini unapenda kua mkweli sana😁Ulikua hupendwi
Wajukuu zangu ni kisanga plus plus🤣🤣🤣Hauna mjukuu huko unipee😎
Hii mia kwa mia Mkuu. Umenena ukweli mtupu na nimeshaandika sana humu. Mwanamke akilelewa na Mama yake peke yake hutaka kuleta zile tabia za Mama yake kwenye mahusiano yake pia. Na kuna vitu lazima atavirithi labda Mama aliolewa akaachika na akalelewa na Mama tu na Yeye I lazima hii atacopy tu. Mwepesi kukuvulia nguo halafu anakuwa ana sheria zake ngumuNilimchunguza miaka mitatu ambapo miwili kati ya hiyo nilikuwa namfuatilia pasipo yeye mwenyewe kujua, mwaka mmoja nilimfuatilia akiwa tumeshafahamiana.
Lakini kubwa zaidi nilianza kwanza kumfuatilia na kumchunguza mama yake mzazi (baba yake nilikuwa namfahamu vizuri).
Tabia za binti kwa kiasi kikubwa sana hulandana na za yule aliyemlea na kumkuza, yaweza kuwa ni mama yake au ndugu yake.
Yote kwa yote ili ndoa iweze kudumu ni sharti mke amuamini, kumheshimh na kumtii mumewe, wakati huo mume amsikilize mkewe
Hivi yeye aliwahi kukupa hela yake?Halafu nilikua nikimwambia sina hela au ntakuchangia kidogo ana mind kishenzi ananuna siku nzima
never na nimuajiriwaHivi yeye aliwahi kukupa hela yake?
Kumbe ukipenda hutakiwi kuomba hela🙆♂️🙆♂️🙆♂️Almanusura hivi 🤏 nimecheka😅
Huyo alikua after sasampa angakunyoosha Mungu wako mkali